title : Mwendokasi ( UDART ) wasitisha shughuli zao kwa muda Kutokana na Mafuriko Jijini Dar
kiungo : Mwendokasi ( UDART ) wasitisha shughuli zao kwa muda Kutokana na Mafuriko Jijini Dar
Mwendokasi ( UDART ) wasitisha shughuli zao kwa muda Kutokana na Mafuriko Jijini Dar
Kufuatia barabara, madaraja na mitaro kujaa maji jijini Dar es Salaam kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, kampuni inayotoa huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (Udart) imesitisha kwa muda huduma za mabasi yake.
Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu Januari 8 Mkuu wa mitengo cha mawasiliano wa kampuni hiyo, Deus Bugaywa imesema huduma hizo zitarejea mara baada ya hali kutengamaa.
“Kutokana na maji kupita juu ya daraja la Mto Msimbazi kwenye barabara ya Morogoro na kusababishwa kufungwa kwa muda kwa barabara hiyo, kampuni ina uarifu umma kuwa huduma za mabasi hayo zimesitishwa kwa muda,” imesema taarifa hiyo na kuongeza,
“Imesitishwa kuanzia saa 3:00 asubuhi, mara baada ya hali kutengemaa na mamlaka husika kuruhusu barabara hiyo kuendelea kutumika, huduma zitarejea mara moja.”
Hivyo makala Mwendokasi ( UDART ) wasitisha shughuli zao kwa muda Kutokana na Mafuriko Jijini Dar
yaani makala yote Mwendokasi ( UDART ) wasitisha shughuli zao kwa muda Kutokana na Mafuriko Jijini Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwendokasi ( UDART ) wasitisha shughuli zao kwa muda Kutokana na Mafuriko Jijini Dar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mwendokasi-udart-wasitisha-shughuli-zao.html
0 Response to "Mwendokasi ( UDART ) wasitisha shughuli zao kwa muda Kutokana na Mafuriko Jijini Dar"
Post a Comment