Msanii aliyesambaza picha za uchi aomba radhi baada kufungiwa

Msanii aliyesambaza picha za uchi aomba radhi baada kufungiwa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Msanii aliyesambaza picha za uchi aomba radhi baada kufungiwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Msanii aliyesambaza picha za uchi aomba radhi baada kufungiwa
kiungo : Msanii aliyesambaza picha za uchi aomba radhi baada kufungiwa

soma pia


Msanii aliyesambaza picha za uchi aomba radhi baada kufungiwa

Msanii filamu na video vixen, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amefunguka na kuomba radhi kwa Serikali na Watanzania kwa ujumla kutokana na vitendo vyake vya kupiga na kuweka picha mitandaoni za nusu uchi.

Akiongea jana na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kufungiwa na serikali kujihusisha kufanya kazi zozote za sanaa kwa miezi sita, Pretty Kind alisema kuwa amejifunza na kugundua kuwa alikuwa anafanya makosa hivyo sasa hataweza kurudi tena kufanya mambo hayo.

“Naomba niombe radhi kwa Watanzania wote kwa hiki nilichokifanya natambua nimefanya kosa naomba msamaha aweze kunisamehe, pia naomba msamaha kwa mashabiki zangu kwa hiki kilichotokea nimejifunza hivyo nitakuwa Pretty Kind mwingine mpya na kufanya yale yanayotakiwa katika jamii” alisema

Pretty Kind amefungiwa kujihusisha na sanaa kwa takribani miezi sita baada ya kuposti picha katika mtandao wake wa Instagram ikimuonyesha akiwa nusu utupu jambo ambalo ni kinyume na maadili ya Kitanzania na kwenda kinyume na maagizo ya Rais John Pombe Magufuli ambayo aliyatoa hivi karibuni kuwataka wasanii wa kike kuvaa kwa staha.


Hivyo makala Msanii aliyesambaza picha za uchi aomba radhi baada kufungiwa

yaani makala yote Msanii aliyesambaza picha za uchi aomba radhi baada kufungiwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Msanii aliyesambaza picha za uchi aomba radhi baada kufungiwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/msanii-aliyesambaza-picha-za-uchi-aomba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Msanii aliyesambaza picha za uchi aomba radhi baada kufungiwa"

Post a Comment