UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA WASHIRIKI MAONYESHO YA UTALII

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA WASHIRIKI MAONYESHO YA UTALII - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA WASHIRIKI MAONYESHO YA UTALII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA WASHIRIKI MAONYESHO YA UTALII
kiungo : UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA WASHIRIKI MAONYESHO YA UTALII

soma pia


UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA WASHIRIKI MAONYESHO YA UTALII

Ubalozi wa Tanzania wa Riyadh nchini Saudi Arabia hivi karibuni ulishiriki katika maonyesho ya Travel and Tourism Pioneers Forum 2018 mjini Riyadh. Maonyesho haya ya kimataifa yaaliandaliwa na Al Awasat Expo chini ya udhamini wa MwanaMfalme HRH Prince Dr. Saif Al Islam. Maonyesho haya yalizishirikisha taasisi mbalimbali zinazohusika na utalii ndani na nje ya Saudi Arabia.
Ubalozi wa Tanzania ulishiriki na kufanikiwa kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini ikiwa ni pamoja na kukutana na mawakala wa utalii, tour operators, travel agencies na makampuni ya kutangaza utalii.
 Baadhi ya wananchi waliotembelea banda la Tanzania katika maonyesho ya Travel and Tourism Pioneers Forum 2018 mjini Riyadh nchini Saudi Arabia.
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Hemedi Iddi Mgaza(kushoto) akizungumza na Mwanamfalme HRH Prince Dr. Saif Al Islam bin Saud bin Abdel Aziz Al Saud alipotembelea banda la Tanzania.
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Hemedi Iddi Mgaza(katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja  na wahudumu wa banda la Tanzania wakati wa maonyesho ya Travel and Tourism Pioneers Forum 2018.
 Wananchi wakiwa kwenye banda la Tanzania walivutiwa na taarifa walizopata na pia kuchukua vipeperushi vyenye taarifa kuhusu Tanzania.
Wakinamama walikuwa ni miongoni mwa watu waliotembelea banda la Tanzania kwenye maonyesho ya Travel and Tourism Pioneers Forum 2018 mjini Riyadh nchini Saudi Arabia.
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Hemedi Iddi Mgaza(wa pili kushoto) akifanya mazungumzo na wananchi waliotembelea banda la Tanzania ili kupata taarifa za kina kuhusu masuala mbalimbali Tanzania kwenye maonyesho ya Travel and Tourism Pioneers Forum 2018 mjini Riyadh nchini Saudi Arabia.


Hivyo makala UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA WASHIRIKI MAONYESHO YA UTALII

yaani makala yote UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA WASHIRIKI MAONYESHO YA UTALII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA WASHIRIKI MAONYESHO YA UTALII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/ubalozi-wa-tanzania-nchini-saudi-arabia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA WASHIRIKI MAONYESHO YA UTALII"

Post a Comment