title : THE LAUNCH PAD YATUMIA TASISI TATU KUWAELEZA VIJANA UMUHIMU WA NIDHAMU MAHAA PA KAZI
kiungo : THE LAUNCH PAD YATUMIA TASISI TATU KUWAELEZA VIJANA UMUHIMU WA NIDHAMU MAHAA PA KAZI
THE LAUNCH PAD YATUMIA TASISI TATU KUWAELEZA VIJANA UMUHIMU WA NIDHAMU MAHAA PA KAZI
--
Mkurugenzi na Mwanzilishi mwenza wa Tasisi ya Launch Pad Tanzania, Henry Kulaya, akizungumza na Vijana waliofika katika mafunzo ya siku mbili ya Ujasiliamali na Kuongeza Maarifa ya kuweza kuajirika katika tasisi mbalimbali nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tasisi ya Niajiri Platform, Lillian Madeje akizungumza na Vijana namna ya kuweza kuandaa Cv zao hili ziweze kuwasaidia kupata ajira kw aurais kupitia Mtnadao wake wa Niajiri Tanzania.
Mkurugenzi ya Tasisi ya kuwezesha Vijana ya Empower Limited, Miranda Naiman akieleza namna tasisi yake ilivyojikita katika kuwasaidia vijana kujikwamua kiuchumi katika kipindi hiki ambacho Dunia inapitia changamoto ya uhaba wa ajira.
Mkurugenzi na Mwanzilishi mwenza wa Tasisi ya Launch Pad Tanzania,Carol Ndosi akichangia jambo katika mjadala wa kuongeza maharifa kwa vijana hili waweze kupata ajira kwa uraisi hili waweze kujikwamua kiuchumi
Mmoja wa Vijana walioshiriki katika Kongamano hilo akieleza jambo juu ya umuhimu wa Vijana kuwa na Maadili kazini
Vijana walioshiriki kongamnao la Vijana Ujasiliamali na kuongeza maharifa hili waweze kuajirika katika mashirika mbalimbali lililoandaliwa na Tasisi ya The Launch Pad
Hivyo makala THE LAUNCH PAD YATUMIA TASISI TATU KUWAELEZA VIJANA UMUHIMU WA NIDHAMU MAHAA PA KAZI
yaani makala yote THE LAUNCH PAD YATUMIA TASISI TATU KUWAELEZA VIJANA UMUHIMU WA NIDHAMU MAHAA PA KAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala THE LAUNCH PAD YATUMIA TASISI TATU KUWAELEZA VIJANA UMUHIMU WA NIDHAMU MAHAA PA KAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/the-launch-pad-yatumia-tasisi-tatu.html
0 Response to "THE LAUNCH PAD YATUMIA TASISI TATU KUWAELEZA VIJANA UMUHIMU WA NIDHAMU MAHAA PA KAZI"
Post a Comment