title : KUMEKUCHA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID KARIAKOO MAPEMA LEO
kiungo : KUMEKUCHA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID KARIAKOO MAPEMA LEO
KUMEKUCHA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID KARIAKOO MAPEMA LEO
Wanawake wakichagua nguo za watoto wao wa kike kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid El Fitri kama walivyokutwa na Camera yetu katika mtaa wa Congo Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam
Mzazi akimjaribisha nguo mtoto wake wa kiume kutoka kwa wamachinga wa soko la Kariakoo kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid el Fitri
Wanawake wakiwa wanachgua viatu vya kuvaa kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid el Fitri
Sehemu ya umatai wa watu uliofurika katika mtaa wa Congo katika soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam
Hivyo makala KUMEKUCHA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID KARIAKOO MAPEMA LEO
yaani makala yote KUMEKUCHA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID KARIAKOO MAPEMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMEKUCHA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID KARIAKOO MAPEMA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/kumekucha-maandalizi-ya-sikukuu-ya-eid.html
0 Response to "KUMEKUCHA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID KARIAKOO MAPEMA LEO"
Post a Comment