MBUNGE WA LONGIDO,DK STEVEN KIRUSWA AAHIDI KUWATUMIA WANANCHI WOTE

MBUNGE WA LONGIDO,DK STEVEN KIRUSWA AAHIDI KUWATUMIA WANANCHI WOTE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE WA LONGIDO,DK STEVEN KIRUSWA AAHIDI KUWATUMIA WANANCHI WOTE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE WA LONGIDO,DK STEVEN KIRUSWA AAHIDI KUWATUMIA WANANCHI WOTE
kiungo : MBUNGE WA LONGIDO,DK STEVEN KIRUSWA AAHIDI KUWATUMIA WANANCHI WOTE

soma pia


MBUNGE WA LONGIDO,DK STEVEN KIRUSWA AAHIDI KUWATUMIA WANANCHI WOTE


Mbunge wa jimbo la Longido mkoa wa Arusha,Dk Steven Kiruswa akizungumza na wananchi mjini Longido katika sherehe aliyoindaa kuwashukuru kufuatia kuchaguliwa kwake mwezi uliopita. Ameahidi kuwatumikia wananchi wote bila kujali tofauti za kisiasa.

Mzee wa mila za jamii ya kimaasai,Kilorit Ngulupa(kushoto) akiwaombea baraka Mbunge wa jimbo la Longido mkoa wa Arusha,Dk Steven Kiruswa na mkewe wake, Agness Kiruswa.

Mbunge wa zamani wa jimbo la Longido mkoa wa Arusha,Lekule Laizer(kulia) akipokea zawadi ya blanketi kutoka kwa mbunge wa sasa, Dk Steven Kiruswa(kushoto) na mke wake,Agness Kiruswa wakati wa sherehe hiyo.

Baadhi ya viongozi waliohudhuria sherehe hiyo.

Mbunge wa jimbo la Longido mkoa wa Arusha,Dk Steven Kiruswa(kulia) akizungumza jambo na Gavana wa Kaunti ya Kajiado nchini Kenya,Joseph Ole Lenku baada ya sherehe na kukubaliana kuongeza ushirikiano baina ya wananchi wanaoishi maeneo ya mpakani.

Mkuu wa mkoa wa Njombe,Christopher Ole Sendeka(kushoto) akipokea zawadi ya Mbuzi kutambua mchango wakati wa kampeni.


Hivyo makala MBUNGE WA LONGIDO,DK STEVEN KIRUSWA AAHIDI KUWATUMIA WANANCHI WOTE

yaani makala yote MBUNGE WA LONGIDO,DK STEVEN KIRUSWA AAHIDI KUWATUMIA WANANCHI WOTE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA LONGIDO,DK STEVEN KIRUSWA AAHIDI KUWATUMIA WANANCHI WOTE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/mbunge-wa-longidodk-steven-kiruswa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MBUNGE WA LONGIDO,DK STEVEN KIRUSWA AAHIDI KUWATUMIA WANANCHI WOTE"

Post a Comment