Tanzania Yaendelea KupunguzA Vikwazo Vya kibiashara Visivyo Vya kiushuru Na Tozo Mbalimbali

Tanzania Yaendelea KupunguzA Vikwazo Vya kibiashara Visivyo Vya kiushuru Na Tozo Mbalimbali - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tanzania Yaendelea KupunguzA Vikwazo Vya kibiashara Visivyo Vya kiushuru Na Tozo Mbalimbali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tanzania Yaendelea KupunguzA Vikwazo Vya kibiashara Visivyo Vya kiushuru Na Tozo Mbalimbali
kiungo : Tanzania Yaendelea KupunguzA Vikwazo Vya kibiashara Visivyo Vya kiushuru Na Tozo Mbalimbali

soma pia


Tanzania Yaendelea KupunguzA Vikwazo Vya kibiashara Visivyo Vya kiushuru Na Tozo Mbalimbali

Tanzania yaridhia kufuta tozo ya Dola za Kimarekani
40 kwa wasafirishaji wa mizigoTanzania imeridhia kufuta tozo ya Dola za Kimarekani 40 (USD40) inayotozwa kwa kila stika kwenye magari yanayosafirisha mizigo kwenda nje ya nchi. Hatua hii imefikiwa kwenye Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji la Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika Jijini Arusha

Akizungumza katika Mkutano huo Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage amesema Tanzania imefikia hatua hii ikiwa ni moja ya jitihada za kuendelea kuboresha mazingira ya biashara nchini na Jumuiya kwa ujumla.

Tozo hii imekuwa ikitozwa kwa kipindi cha muda mrefu kwa malori yanoyosafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali nje ya mipaka ya nchi. Baada ya tathimini Serikaliimebaini kuwa tozo hii inasababisha usumbufu na kuongeza gharama kwa wasafirishaji wa mizigo. Hata hivyo hatua hii inaendelea kuifanya Tanzania kuwa mtekelezaji mzuri wa makubaliano na itifaki mbalimbali za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mkutano huu uliofanyika kwa kipindi cha siku tatu tarehe 7 hadi 9 Februari 2018, pamoja na mambo mengine ulilenga kujadili na kutatua vikwazo vya kibiashara visivyo vya kiushuru (NTBs) ambavyo vimekuwepo
kwa muda mrefu katika Jumuiya. Mkutano huu umefikia tamati leo katika Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha.

Taratibu za kuanza kufuta
tozo hii zinaanza kutekelezwa mara moja.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya
Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
9 Februari 2018
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe. CharleS Mwijage(Mb) akifuatilia Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji wa nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliokuwa ukiendelea.
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe. CharleS Mwijage(Mb) akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji la Jumuiya ya Afrika Mashariki 
Mkutano ukiwa unaendelea


Hivyo makala Tanzania Yaendelea KupunguzA Vikwazo Vya kibiashara Visivyo Vya kiushuru Na Tozo Mbalimbali

yaani makala yote Tanzania Yaendelea KupunguzA Vikwazo Vya kibiashara Visivyo Vya kiushuru Na Tozo Mbalimbali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tanzania Yaendelea KupunguzA Vikwazo Vya kibiashara Visivyo Vya kiushuru Na Tozo Mbalimbali mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/tanzania-yaendelea-kupunguza-vikwazo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Tanzania Yaendelea KupunguzA Vikwazo Vya kibiashara Visivyo Vya kiushuru Na Tozo Mbalimbali"

Post a Comment