title : TRA YAFUNGIA MADUKA YA WAFANYABIASHARA WASIOTUMIA MASHINE ZA EFD KARIAKOO
kiungo : TRA YAFUNGIA MADUKA YA WAFANYABIASHARA WASIOTUMIA MASHINE ZA EFD KARIAKOO
TRA YAFUNGIA MADUKA YA WAFANYABIASHARA WASIOTUMIA MASHINE ZA EFD KARIAKOO
Maafisa wa Mamalaka ya Mapato Nchini (TRA) wameendelea kufanya zoezi la ukaguzi wa maduka ya wafanyabiashara wanaouza bidhaa zao pasipo kuwapatia risiti za mashine za Kielektroniki (Efd) jijini Dar es Salaam. Kampeni hiyo imeendelea kufanyika katika eneo la Kibiashara la Kariakoo na itakuwa endelevu kuhakikisha wafanya biashara wanazingatia sheria, kanuni na taratibu za biashara katika mauzo ya bidhaa zao.
|
||
Afisa wa Kampuni ya Yono Auction Mart (kulia) na mmoja wa wafanya biashara wakifunga makofuli kwenye duka la madera katika mtaa wa Congo Kariakoo Dar es Salaam Juni 22 2017 baada ya kukutwa duka hilo likiendelea kutoa huduma ilhali awali walishakutwa wakiuza bidhaa hizo pasipo kutoa risiti ya kielektoniki licha ya kuwa na mashine ya risiti za kieletroniki (Efd). Hatua ya kuwakamata wafanyabiashara wa jinsi hiyo ilitokana na kitendo cha kutokuitikia wito wa mamlaka ya Mapato Nchini wa kwenda kulipa faini baada kufanya kosa hilo. Kwa kosa hilo watalazimika kulipa kati ya shilingi milioni 3 mpaka 4 na nusu ili waruhusiwe kuendelea na biashara.
|
Hivyo makala TRA YAFUNGIA MADUKA YA WAFANYABIASHARA WASIOTUMIA MASHINE ZA EFD KARIAKOO
yaani makala yote TRA YAFUNGIA MADUKA YA WAFANYABIASHARA WASIOTUMIA MASHINE ZA EFD KARIAKOO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TRA YAFUNGIA MADUKA YA WAFANYABIASHARA WASIOTUMIA MASHINE ZA EFD KARIAKOO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/tra-yafungia-maduka-ya-wafanyabiashara.html
0 Response to "TRA YAFUNGIA MADUKA YA WAFANYABIASHARA WASIOTUMIA MASHINE ZA EFD KARIAKOO"
Post a Comment