title : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
kiungo : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU.TV: Wadau wa zao la tumbaku mkoani Tabora wameshauri kutonunuliwa kwa tumbaku inayozalishwa katika mashamba yanayo tumikisha watoto wadogo. https://youtu.be/b1I7Tse_JqI
SIMU.TV: Wakazi wa wilaya ya Manyoni mkoani Singida wameipongeza serikali kwa jitihada inayochukua kutatua kero za wananchi wilayani humo. https://youtu.be/z-Ze93BPHbA
SIMU.TV: Watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu mkoani Iringa wamemshukuru rais Dr John Pombe Magufuli kwa kuwapa zawadi ya sikukuu ya Idd. https://youtu.be/tfBxLLvgwYY
SIMU.TV: Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limesema litaimairisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ya jiji siku ya sikukuu ya Idd ili kukabiliana na uhalifu wa aina yeyote. https://youtu.be/UTKV7hho8AA
SIMU.TV: Mkurugenzi mkuu wa shirika la utangazaji TBC Dr. Ayoub Rioba amekutana na kufanya mazungumzo na balozi wa jamhuri ya watu wa Korea ya Kusini yenye lengo la kujenga mahusiano ya masuala mbalimbali. https://youtu.be/VMMEtxxi4RI
SIMU.TV: Kikosi cha jeshi la kujenga taifa JKT wilayani Mlale kimeanza ujenzi wa kiwanda kipya cha kusindika mahindi kinachotarajiwa kutumia zaidi ya shilingi milioni 250. https://youtu.be/mnAvTgHrDlE
SIMU.TV: Wahitimu wa mafunzo ya jeshi la kujenga taifa JKT operesheni Magufuli Makuyuni Mkoani Arusha wametakiwa kulienzi jina hilo kwa kufanya yale anayotekeleza Rais Magufuli ikiwemo kulinda rasilimali za taifa. https://youtu.be/A9WkRe9tlko
SIMU.TV: Kituo cha uwekezaji nchini TIC kitaanza kutoa vibali vya uwekezaji ndani ya siku tatu kuanzia mwezi julai ili kuharakisha uwekezaji wa viwanda nchini. https://youtu.be/09uRr5YVnvE
SIMU.TV: Waziri wa nchi ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Angela Kairuki amezitaka taaisi za umma kutangaza takwimu zao ili wananchi waweze kuzifuatilia. https://youtu.be/6mRLGRhXWzQ
SIMU.TV: Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Dr Haryson Mwakyembe amemtembelea nahodha wa Serengeti Boys Isa Abdi nyumbani kwao mjini Dodoma na kueleza kuridhishwa na maendeleo ya afya yake. https://youtu.be/Y2zj__BebXM
SIMU.TV: Klabu ya Yanga imesema inawarudisha wachezaji wake wote waliomaliza mikataba yao na timu hiyo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao. https://youtu.be/gKf-g4R2AOk
Hivyo makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
yaani makala yote SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/simu-tv-habari-kutoka-televisheni_23.html
0 Response to "SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI"
Post a Comment