Efm redio 103.3 fm yatua rasmi jijini Mbeya kwa kishindo kikuu

Efm redio 103.3 fm yatua rasmi jijini Mbeya kwa kishindo kikuu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Efm redio 103.3 fm yatua rasmi jijini Mbeya kwa kishindo kikuu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Efm redio 103.3 fm yatua rasmi jijini Mbeya kwa kishindo kikuu
kiungo : Efm redio 103.3 fm yatua rasmi jijini Mbeya kwa kishindo kikuu

soma pia


Efm redio 103.3 fm yatua rasmi jijini Mbeya kwa kishindo kikuu





Wiki  nzima imekua ikitoa mafuta ya LAKE OIL kwa vyombo vya moto venye stika ya 103.3 Efm Mbeya. ambapo kila pikipiki, bajaji na magari iliwekewa mafuta full tank ikiwa na Shamra shamra za kituo hicho cha redio kuingia rasmi kusikika kwa kishindo mkoani mbeya kupitia mawimbi ya 103.3 fM.
 Meneja mkuu wa Redio ya E.fm Ndugu, Denis Busulwa akiwapa vipande wapinzani wake katika mtanange kati ya timu ya E.Fm Redio na timu ya Viongozi wa Serikali katika mchezo ulio chezwa hii leo katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini mbeya ambapo Timu Ya EFm iliongoza kwa kuibugiza Timu ya Viongozi wa Serikali Gori 6-1.
 Kutoka kulia ni Kamanda wa polisi mkoa wa mbeya Mohamed Mpinga akizungumza jambo kwa wachezaji wa Timu ya Efm Redio Pamoja na Timu ya Viongozi wa serikali hawapo pichani kabla ya mchezo kuanza.

Kutoka kushoto ni  Meneja mkuu wa Redio ya E.fm Ndugu, Denis Busulwa akipokea zawadi ya Tsheti kutoka kwa wadau na wasikilizaji wa 103.3 Efm Redio Mbeya
Vile vile siku ya Leo kulikua na jogging club asubuhi na wakazi wa Mbeya kwa lengo la kuhamasisha mazoezi kwa wakazi wa mbeya ili kujijenga kimwili na kiafya kama ambavyo Efm Redio imekuwa ikifanya mazoezi hayo kila siku jijini Dar es salaam.
madereva wa pikipiki wakisubiri zawadi ya mafuta kutoka Efm redio 103.3 , ambapo kwa wiki  nzima imekua ikitoa mafuta ya LAKE OIL kwa vyombo vya moto vilivyoweka stika ya 103.3 Efm Mbeya. Kila pikipiki na bajaj iliopata fursa hiyo iliwekewa mafuta full tank. 
PICHA NA MR. PENGO WA GLOBU YA JAMII - MBEYA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.


Hivyo makala Efm redio 103.3 fm yatua rasmi jijini Mbeya kwa kishindo kikuu

yaani makala yote Efm redio 103.3 fm yatua rasmi jijini Mbeya kwa kishindo kikuu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Efm redio 103.3 fm yatua rasmi jijini Mbeya kwa kishindo kikuu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/efm-redio-1033-fm-yatua-rasmi-jijini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Efm redio 103.3 fm yatua rasmi jijini Mbeya kwa kishindo kikuu"

Post a Comment