title : RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA GARI KUTOKA KWA KAMPUN YA GWM.
kiungo : RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA GARI KUTOKA KWA KAMPUN YA GWM.
RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA GARI KUTOKA KWA KAMPUN YA GWM.
Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekabidhiwa gari aina ya Wingle 5 na Kampuni ya Great Wall Motors ya nchini China kwa kushirikiana na kampuni ya wazawa ya Kifaru Motors (T). ya jijini Dar es salaam.
Meneja Mwandamizi wa Kampuni hiyo nchini Afrika Kusini Jianguo Liu ameeleza kuwa sababu za kutoa gari hilo ni kuunga mkono jitihada za serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli, katika kusaidia kutatua changamoto za wananchi na inathamani ya zaidi ya shilingi milioni 55.
Kwa upande wake RC Makonda amewashukuru wahisani hao kwa msaada huo na kuahidi kuutumia msaada huo kama ilivyokusudiwa, huku akieleza kuwa utaratibu wa kulitumia gari hilo utatokana na maoni ya wananchi ambapo watapiga kura kupitia namba maalumu na kueleza gari hilo liende kwenye idara ipi, kwa mfano idara ya elimu, afya, polisi nakadhalika.

"wanachi wenyewe ndiyo mtaamua gari hili liende wapi na katika idara gani na napia nataka wanachi waeleze idara gani zina wahudumia vizuri ili anagalau hili gari lipelekwe huko ili kuwa tiamoyo kwa kazi nzuri wanayo ifanya ili na wale ambao hawajafanya vizuri waone mfano wa wenzao wanavyo toa huduma kwa wananchi zoezi hili tualifanya kwa uwazikabisa na baadhi ya Tv zimekubali kuonyesha vipindi " Alisema Rc Makonda .
Pamoja na hayo RC Makonda ameongeza kuwa serikali ya Mkoa wa Dar es salaam , itaendelea na utaratibu huo kila watakapo pata misaada kama hiyo ili kuweka ushindani baina ya idara katika mkoa huo.
Hivyo makala RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA GARI KUTOKA KWA KAMPUN YA GWM.
yaani makala yote RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA GARI KUTOKA KWA KAMPUN YA GWM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA GARI KUTOKA KWA KAMPUN YA GWM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rc-makonda-apokea-msaada-wa-gari-kutoka.html
0 Response to "RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA GARI KUTOKA KWA KAMPUN YA GWM."
Post a Comment