title : MAKONDA ATAKA WALIMU KUTHAMINIWA , MAKONTENA YA THAMANI ZA WALIMU YA ANZA KUWASILI.
kiungo : MAKONDA ATAKA WALIMU KUTHAMINIWA , MAKONTENA YA THAMANI ZA WALIMU YA ANZA KUWASILI.
MAKONDA ATAKA WALIMU KUTHAMINIWA , MAKONTENA YA THAMANI ZA WALIMU YA ANZA KUWASILI.
Mwambawahabari
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Makonda leo amezindua rasmi zoezi la kupokea Samani za ndani za ofisi za walimu.
"wakati mwingine matatizo ambayo yanatusumbua yame sababishwa na sisi wakuu wa idara tumezembea mahalani mimi nashukuru Sana kutafuta kwa aliyekuwa Afisa Elimu Mkoa wa Dar es Salaam Mhe kwa kuwa alikuwa hashughuliki na changamoto za walimu" Amesema.
Aidha ametaka walimu kuthaminiwa kama ilivyokuwa zamani na amesema atatoa waraka ili walimu katika huduma za umma walimu wapewe kipaumbele katika kupewa huduma wasipange foleni,huku akiwa omba walimu kufundisha wanafunzi kwa moyo ili yaweze kupatikana matokeo bora.
Jumla ya Makontena 36 yanatarajiwa kuwasili ambapo leo yamepokelewa 20 na makontena 16 yanatarajiwa kuwasili.
Ameendelea kuwashukuru wa Marekani wa walijitolea samani hizo na kuwa omba kwa mwenyezi Mungu awazidishie,pamoja na waandishi wa habari kwa kuandika habari zilizowafanya wa fadhili sehemu mbalimbali Ulimwenguni kufahamu mahitaji ya walimu wa Dar es Salaam.
Pamoja na hayo Makonda ameshiriki kuanzishwa kwa mashindano ya michezo mashuleni ili wanafunzi waweze kuwa na Afya bora.
Hivyo makala MAKONDA ATAKA WALIMU KUTHAMINIWA , MAKONTENA YA THAMANI ZA WALIMU YA ANZA KUWASILI.
yaani makala yote MAKONDA ATAKA WALIMU KUTHAMINIWA , MAKONTENA YA THAMANI ZA WALIMU YA ANZA KUWASILI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKONDA ATAKA WALIMU KUTHAMINIWA , MAKONTENA YA THAMANI ZA WALIMU YA ANZA KUWASILI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/makonda-ataka-walimu-kuthaminiwa.html
0 Response to "MAKONDA ATAKA WALIMU KUTHAMINIWA , MAKONTENA YA THAMANI ZA WALIMU YA ANZA KUWASILI."
Post a Comment