Karani wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA ahukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 100 ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela

Karani wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA ahukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 100 ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Karani wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA ahukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 100 ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Karani wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA ahukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 100 ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela
kiungo : Karani wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA ahukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 100 ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela

soma pia


Karani wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA ahukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 100 ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.

Mahakama ya Hakimu Mkazi  Kisutu imemuhukumu Karani wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA, Winfred  Businge (33) kulipa faini ya Sh milioni 100 ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela. Baada ya kupatikana na hatia ya tuhuma za kushindwa kutolea maelzo USD  milioni moja kwa afisa forodha.

Businge ambaye ni raia wa Uganda alifanikiwa kulipa faini ya kiasi hicho cha fedha cha Sh milioni 100 na kukwepa adhabu hiyo ya kifungo.

Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya mshtakiwa, kukubali kosa.

Katika hati ya mashtaka,  ilidaiwa Desemba 11, mwaka jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) ndani ya jiji la Dar es Salaam Businhe alikutwa ameingia nchini na USD milioni 100 ambazo ni sawa na sh. Bilioni 2  fedha ambazo alishindwa kuzitolea  maelezo kwa wakala wa forodha.

Kesi hiyo ilikuwa ikiendeshwa na Wakili wa serikali mwandamizi, Awamu Mbagwa, kwa upande wa utetezi alikuwa akiwakilishwa na Wakili Hudson Ndusyepo.


Hivyo makala Karani wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA ahukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 100 ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela

yaani makala yote Karani wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA ahukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 100 ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Karani wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA ahukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 100 ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/karani-wa-kampuni-ya-ulinzi-ya-sga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Karani wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA ahukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 100 ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela"

Post a Comment