WAZIRI BITEKO AANZA KUTATUA MGOGORO KATI YA MZEE MCHATA, KAMPUNI YA MANTRA

WAZIRI BITEKO AANZA KUTATUA MGOGORO KATI YA MZEE MCHATA, KAMPUNI YA MANTRA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI BITEKO AANZA KUTATUA MGOGORO KATI YA MZEE MCHATA, KAMPUNI YA MANTRA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI BITEKO AANZA KUTATUA MGOGORO KATI YA MZEE MCHATA, KAMPUNI YA MANTRA
kiungo : WAZIRI BITEKO AANZA KUTATUA MGOGORO KATI YA MZEE MCHATA, KAMPUNI YA MANTRA

soma pia


WAZIRI BITEKO AANZA KUTATUA MGOGORO KATI YA MZEE MCHATA, KAMPUNI YA MANTRA

Mwambawahabari

Waziri wa Madini, Doto Biteko leo Januari 28, amekutana na Mzee Eric Mchata na Kampuni ya madini ya Uranium ya Mantra Tanzania kwa lengo la kutatua mgogoro uliopo baina ya pande hizo mbili.

Kikao hicho, kinafuatia malalamiko yaliyowasilishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Januari 22 na Mzee Mchata wakati wa mkutano wa Kisekta ulioshirikisha wachimbaji wadogo na wadau wa madini uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Wakati akisikiliza kero za wachimbaji na wadau wa madini walioshiriki kikao hicho, Rais Magufuli alipokea kero ya Mzee Mchata aliyemweleza kwamba amekuwa na mgogoro na kampuni hiyo kwa kipindi cha takribani miaka 12 na bado hajapata suluhu.


Akijbu kero iliyowasilishwa na Mzee Mchata, Rais Magufuli aliitaka Wizara ya Madini kuhakikisha mgogoro huo unafikia mwisho.


Hivyo makala WAZIRI BITEKO AANZA KUTATUA MGOGORO KATI YA MZEE MCHATA, KAMPUNI YA MANTRA

yaani makala yote WAZIRI BITEKO AANZA KUTATUA MGOGORO KATI YA MZEE MCHATA, KAMPUNI YA MANTRA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI BITEKO AANZA KUTATUA MGOGORO KATI YA MZEE MCHATA, KAMPUNI YA MANTRA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-biteko-aanza-kutatua-mgogoro_28.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI BITEKO AANZA KUTATUA MGOGORO KATI YA MZEE MCHATA, KAMPUNI YA MANTRA"

Post a Comment