KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA

KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA
kiungo : KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA

soma pia


KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola hii leo amefanya ziara ya kushtukiza katika Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA) ikiwa ni pamoja na kutembelea miundombinu ya Mamlamka hiyo.

Waziri Lugola amesikitishwa na namna Mamlaka hiyo ilivyoshindwa kuhimili kiasi cha maji taka yanayozalishwa katika Mji huo wa Dodoma na kutitiririka katika makazi ya watu bila kutibiwa (Treated).

Katika ziara hiyo Naibu Waziri Kangi Lugola ameitaka Mamlaka hiyo kuja na mpango wa haraka wa kudhibiti maji hayo kwa lengo la kudhibiti usafi wa Mazingira na Ustawi wa Wananchi. “DUWASA mmekuwa mkitiririsha maji taka bila kuyatibu kwenye makazi ya watu, na kwenye kilimo cha mpunga, na mmepelekea baadhi ya watu kuyahama makazi yao.” Lugola alisisitiza.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Kangi Lugola akielekeza jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji Safi na usafi wa Mazingira mjini Dodoma (DUWASA) David Palangyo wakati wa ziara ya kutembelea mabwawa ya kuhifadhi maji taka yanayotumiwa na DUWASA katika eneo la Swaswa mjini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Kangi Lugola akiwa pamoja na Ujumbe toka DUWASA akikagua mabwawa ya kuhifadhi maji taka katika eneo la Swaswa na Ilazo mjini Dodoma ambapo alifanya ziara.
Sehemu ya mabwawa ya kuhifadhia maji taka inayotumiwa na Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Dodoma (DUWASA) katika eneno la Swaswa.



Hivyo makala KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA

yaani makala yote KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/kangi-lugola-asikitishwa-na-utendaji-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA"

Post a Comment