UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR
kiungo : UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

soma pia


UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF limetoa msaada wa Komputa aina ya Laptop 200 kwa Wizara ya Afya ya Zanzibar ili kuimarisha usimamizi wa mfumo wa taarifa za Afya kwa wizara hiyo.

Laptop hizo zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 400 zimetolewa ikiwa ni mwendelezo wa UNICEF kuiunga mkono Serikali katika kuimarisha huduma za matibabu hasa ya akinamama na watoto.Akikabidhi Msaada huo katika Ukumbi wa Wizara hiyo Mnazi mmoja Mwakilishi wa UNICEF Zanzibar Francesca Morandin amesema upatikanaji wa taarifa sahihi ni jambo muhimu linalofaa kupewa kipaumbele.

Amesema uwepo wa taarifa sahihi za Wajawazito na watoto huisaidia Serikali kujua idadi ya ongezeko la watu wake hali inayopelekea kupanga mipango vyema ya matibabu kulingana na idadi ya watu husika.Amewataka Watendaji kwa ujumla kuunga mkono juhudi zinazotolewa na UNECO ili kuhakikisha afya za Watoto na Wajawazito zinaimarika.

Francesca ameongeza kuwa Shirika hilo la UNICEF litaendelea kuiunga mkono Zanzibar katika juhudi zake za kimatibu na kuipongeza Srikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuendelea kutoa matibabu bure kwa wananchi wake.
Waziri wa Afya wa Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo kushoto na akikabidhiwa Msaada wa Laptop 200 zenye thamani ya zaidi ya Shil.Millioni 400 kutoka kwa Mwakilishi wa UNICEF Zanzibar Francesca Morandin ili kuimarisha usimamizi wa mfumo wa taarifa za Afya kwa wizara hiyo. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar

Mwakilishi wa UNICEF Zanzibar Francesca Morandin akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Msaada wa Laptop 200 zenye thamani ya zaidi ya Shil.Millioni 400 kwa Wizara ya Afya Zanzibar ili zisaidie kuimarisha usimamizi wa mfumo wa taarifa za Afya kwa wizara hiyo. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar.


Hivyo makala UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

yaani makala yote UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/unicef-yatoa-msaada-wa-laptop-200-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR"

Post a Comment