KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU

KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU
kiungo : KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU

soma pia


KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU

 Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika kikao  kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Agnes Kijazi wakati akiwasilisha mada katika kikao cha Kamati hiyo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Agnes Kijazi wakati akiwasilisha mada katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Mindombinu katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, kushoto kwake ni mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Moshi Kakoso.
 Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika kikao kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma wakimsikiliza Mwanasheria wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Agnes Kijazi wakati akiwasilisha mada katika kikao cha Kamati hiyo.
Mwanasheria wa Bunge, Ndugu Thomas Shawa akiwapitisha wajumbe wa Kamati ya Miundombinu katika Muswada Sheria ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania wa mwaka 2018 unaotarajiwa kuwasilishwa na Serikali katika Kamati hiyo Januari 16, 2018. Wa kwanza ni mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Moshi Kakoso.Kikao hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.



Hivyo makala KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU

yaani makala yote KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/kikao-cha-kamati-ya-bunge-ya-miundombinu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU"

Post a Comment