IDARA YA UHAMIAJI YAWABAINI WAFANYAKAZI 37 KWA KUKOSA VIBALI VYA KUFANYA KAZI NCHINI KATIKA CHUO CHA KAMPALA

IDARA YA UHAMIAJI YAWABAINI WAFANYAKAZI 37 KWA KUKOSA VIBALI VYA KUFANYA KAZI NCHINI KATIKA CHUO CHA KAMPALA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IDARA YA UHAMIAJI YAWABAINI WAFANYAKAZI 37 KWA KUKOSA VIBALI VYA KUFANYA KAZI NCHINI KATIKA CHUO CHA KAMPALA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IDARA YA UHAMIAJI YAWABAINI WAFANYAKAZI 37 KWA KUKOSA VIBALI VYA KUFANYA KAZI NCHINI KATIKA CHUO CHA KAMPALA
kiungo : IDARA YA UHAMIAJI YAWABAINI WAFANYAKAZI 37 KWA KUKOSA VIBALI VYA KUFANYA KAZI NCHINI KATIKA CHUO CHA KAMPALA

soma pia


IDARA YA UHAMIAJI YAWABAINI WAFANYAKAZI 37 KWA KUKOSA VIBALI VYA KUFANYA KAZI NCHINI KATIKA CHUO CHA KAMPALA

Na Leandra Gabriel, Globu ya Jamii 
IDARA ya Uhamiaji nchini imefanya operesheni katika Chuo Kikuu cha Kampala (Kampala International University - KIU) kilichopo Gongo la Mboto jijini Dar es salaam na kubaini uwepo wa wafanyakazi 37 wanaofanya kazi bila kuwa na kibali maalumu. 
Akizungumza na Michuzi Blog leo, Msemaji wa Idara hiyo, Bw. Ally Mtanda amesema kuwa baada ya kuwabaini wafanyakazi hao wanaofanya kazi kinyume na utaratibu idara hiyo imechukua maelezo kutoka kwa kila mfanyakazi na amesema baada ya uchunguzi kukamilika wengine wanaweza kwenda mahakamani na kwa wengine taratibu zingine za kiuhamiaji zitaendelea. 
Amesema kuwa kwa sasa wanachukua maelezo ili kuweza kujiridhisha juu ya kuwepo kwa na kafanya kazi nchini hapa. Bw. Mtanda amesema kuwa operesheni hiyo ni endelevu katika kubaini wahamiaji haramu na wanaoishi na kufanya kazi bila vibali nchini.



Hivyo makala IDARA YA UHAMIAJI YAWABAINI WAFANYAKAZI 37 KWA KUKOSA VIBALI VYA KUFANYA KAZI NCHINI KATIKA CHUO CHA KAMPALA

yaani makala yote IDARA YA UHAMIAJI YAWABAINI WAFANYAKAZI 37 KWA KUKOSA VIBALI VYA KUFANYA KAZI NCHINI KATIKA CHUO CHA KAMPALA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IDARA YA UHAMIAJI YAWABAINI WAFANYAKAZI 37 KWA KUKOSA VIBALI VYA KUFANYA KAZI NCHINI KATIKA CHUO CHA KAMPALA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/idara-ya-uhamiaji-yawabaini-wafanyakazi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "IDARA YA UHAMIAJI YAWABAINI WAFANYAKAZI 37 KWA KUKOSA VIBALI VYA KUFANYA KAZI NCHINI KATIKA CHUO CHA KAMPALA"

Post a Comment