NAIBU WAZIRI MHANDISI STELLA MANYANYA AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA

NAIBU WAZIRI MHANDISI STELLA MANYANYA AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI MHANDISI STELLA MANYANYA AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI MHANDISI STELLA MANYANYA AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA
kiungo : NAIBU WAZIRI MHANDISI STELLA MANYANYA AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA

soma pia


NAIBU WAZIRI MHANDISI STELLA MANYANYA AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA

Naibu Waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya, akifungua rasmi kongamano la kimataifa la Asali (CESO) likiwa na lengo la kuongeza uzalishaji wa asali nchi.
Naibu Waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya (wa pili kutoka kulia) akishiriki kongamano la kimataifa (CESO) la kujadili changamoto katika uzalishaji wa asali nchini, limefanyika katika ukumbi wa Mount Meru Hotel, Arusha tarehe 19/2/2018.
Naibu Waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya, akimsikiliza Mhandisi Mkuu wa Utafiti kutoka Shirika la Usanifu Mitambo (TEMDO) akifungua rasmi kongandugu Patrick Kivanda.
Wafanyakazi wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Mhandisi Stella Manyanya, alipotembelea kiwanda cha SUNFLAG.
Naibu Waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya, akiangalia nguo mbalimbali zinazotengezwa na kiwanda cha SUNFLAG cha jijini Arusha, pembeni ni Mtenaji mkuu wa Kiwanda ndugu Ajay Shah.


Hivyo makala NAIBU WAZIRI MHANDISI STELLA MANYANYA AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI MHANDISI STELLA MANYANYA AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI MHANDISI STELLA MANYANYA AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/naibu-waziri-mhandisi-stella-manyanya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU WAZIRI MHANDISI STELLA MANYANYA AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA"

Post a Comment