title : ZAIDI YA BILIONI 1.2 ZIMETENGWA NA WAKALA WA BARABARA NCHINI TANROAD KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA WILAYANI MKURANGA-ULEGA
kiungo : ZAIDI YA BILIONI 1.2 ZIMETENGWA NA WAKALA WA BARABARA NCHINI TANROAD KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA WILAYANI MKURANGA-ULEGA
ZAIDI YA BILIONI 1.2 ZIMETENGWA NA WAKALA WA BARABARA NCHINI TANROAD KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA WILAYANI MKURANGA-ULEGA
ZAIDI ya shilingi bilioni 1.2 zimetengwa na Wakala wa barabara nchini TANROAD kwa ajili ya Ujenzi wa Barabara kutoka Ulanga hadi Kurungu wilayani mkuranga katika Mkoa Pwani.
Akizungumza na wananchi wilayani humo jana katika mkutano wa hadhara wa kufunga mwaka 2017 na kukaribisha 2018 Mbunge wa Jimbo hilo Abdalla Ulega ambaye pia ni Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi,alisema tayari serikali imeshatenga fedha hizo.
Ulega aliwaeleza wananchi wa jimbo hilo kuwa katika miaka miwili ya uongozi wake yapo mambo mengi ambayo ameyafanya, lakini barabara ni kero kubwa kwa wanamkuranga hivyo katika juhudi zake amefanikiwa kupata fedha hizo kwa ajili ya kuaza ujenzi huo.
"Ndugu zangu wanamkuranga mwanenu napambana kwelikweli kwa maana najuwa niliahidi na nyie mlinituma na mmeendelea kunituma nami staki kuwaangusha, hivyo kuazia January hadi Februari mwaka huu 2018 ujenzi wa barabara hii ambayo nimetaja itaaza ujenzi. "alisema Ulega
Pia aliongeza kuwa anajuwa kwamba changamoto ya barabara imekuwepo kwa muda mrefu na viongozi mbalimbali wamepita lakini aliwaeleza wasubiri utekelezaji wake kuanzia miezi hiyo. Akizungumzia eneo la afya wilayani humo,Ulega aliwaeleza wananchi hao kuwa kwa muda mrefu hospitali ya wilaya ilikuwa haina kipimo cha X-ray lakini kwa jitihada zake amefanikisha kupata kipimo hicho na kitakabidhiwa hospitalini hapo hivi karibuni.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akikabidhi kadi ya bima ya Afya kwa mmoja wazee waliokatiwa bima ya afya na Naibu Waziri huyo, Salehe Mgonza katika Mkutano uliofanyika Mkuranga.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akiwa na viongozi wa chama na serikali akikabibidhi mikokoteni kwa kikundi cha Umoja waendesha mikokoteni wilaya ya Mkuranga.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza juu ushirikiano katika ulinzi na usalama pamoja na kuwapeleka shule wanafunzi wa kuanza darasa la kwanza.

Mganga mkuu Wilaya ya Mkuranga Dkt.Steven Mwandambo (kushoto)akijibu swali mbele ya Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega picha na Emmanuel Massaka,Globui ya jamii.
Baadhi ya Madiwa wani kwakiwa katika mkutano huu
sehemu ya wananchi wakiwa katika mkutano huu.

Hivyo makala ZAIDI YA BILIONI 1.2 ZIMETENGWA NA WAKALA WA BARABARA NCHINI TANROAD KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA WILAYANI MKURANGA-ULEGA
yaani makala yote ZAIDI YA BILIONI 1.2 ZIMETENGWA NA WAKALA WA BARABARA NCHINI TANROAD KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA WILAYANI MKURANGA-ULEGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZAIDI YA BILIONI 1.2 ZIMETENGWA NA WAKALA WA BARABARA NCHINI TANROAD KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA WILAYANI MKURANGA-ULEGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/zaidi-ya-bilioni-12-zimetengwa-na.html
0 Response to "ZAIDI YA BILIONI 1.2 ZIMETENGWA NA WAKALA WA BARABARA NCHINI TANROAD KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA WILAYANI MKURANGA-ULEGA"
Post a Comment