title : Mwenge wa Uhuru wakabidhiwa Wilaya ya Mkoani kuanza mbio zake
kiungo : Mwenge wa Uhuru wakabidhiwa Wilaya ya Mkoani kuanza mbio zake
Mwenge wa Uhuru wakabidhiwa Wilaya ya Mkoani kuanza mbio zake
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa , Charles Francis Kabeho, akiwaaga Wananchi wa Wilaya ya Chake Chake mara baada ya Mwenge kumaliza mbio zake na kuendelea katika Wilaya ya Mkoani Pemba.
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa , Charles Francis Kabeho, akisalimiana na Mkurugenzi wa Baraza la Mji wa Mkoani Pemba, Rashid Abdalla Rashid, mara baada ya Mwenge kuingia katika Wilaya ya Mkoani
kuanza mbio zake.
Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa , Charles Francis Kabeho , akivikwa Skafu na mmoja wa Scout mara baada ya mwenge kuingia katika Wilaya ya Mkoani kuanza mbio zake.
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Rashid Hadid Rashid, akimkabidhi mbio za mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Issa Juma Ali, kwa ajili ya kuanza mbio zake katika Wilaya hiyo.
PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.
Hivyo makala Mwenge wa Uhuru wakabidhiwa Wilaya ya Mkoani kuanza mbio zake
yaani makala yote Mwenge wa Uhuru wakabidhiwa Wilaya ya Mkoani kuanza mbio zake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwenge wa Uhuru wakabidhiwa Wilaya ya Mkoani kuanza mbio zake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mwenge-wa-uhuru-wakabidhiwa-wilaya-ya.html
0 Response to "Mwenge wa Uhuru wakabidhiwa Wilaya ya Mkoani kuanza mbio zake"
Post a Comment