UPELELEZI KESI YA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI BILIONI 2.4/- MBIONI KUKAMILIKA

UPELELEZI KESI YA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI BILIONI 2.4/- MBIONI KUKAMILIKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UPELELEZI KESI YA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI BILIONI 2.4/- MBIONI KUKAMILIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UPELELEZI KESI YA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI BILIONI 2.4/- MBIONI KUKAMILIKA
kiungo : UPELELEZI KESI YA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI BILIONI 2.4/- MBIONI KUKAMILIKA

soma pia


UPELELEZI KESI YA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI BILIONI 2.4/- MBIONI KUKAMILIKA

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii

UPELELEZI katika kesi  ya uhujumu uchumi na kuisababishia hasara Serikali ya Shilingi bilioni 2.4 inayomkabili Mkurugenzi wa Tathmini ya Madini, Archard Kalugendo na mwenzake upo hatua za mwisho kukamilika.

Mbali ya Kalugendo, mshitakiwa mwingine katika kesi hiyo ni Mthamini wa Madini ya Almasi wa Serikali, Edward Rweyemamu.

Wakili wa Serikali,  Ester Martin amedai hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi  Mkuu, Thomas Simba wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuongeza kuwa kesi ilikuja kwa ajili ya kutajwa lakini upelelezi bado haujakamilika na kwamba wanaomba tarehe nyingine kwa ajili ya kuja kieleza hatua ya upelelezi.

Katika tarehe ya kutajwa iliyopita, upande wa mashitaka ulidai kuna baadhi ya vitu vinapaswa kukamilishwa katika kesi hiyo ikiwemo kusubiri uamuzi kama ikasikilizwe Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi  'Mafisadi' ama lah.

Baada ya kueleza hayo, Hakimu Simba aliahirisha kesi hiyo hadi Januari 31, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa.Kwa pamoja washitakiwa hao wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kuisababisha Serikali hasara ya zaidi ya Sh.bilioni 2.4.

Inadaiwa kuwa kati ya August 25 na 31 mwaka  2017 katika maeneo mbalimbali kati ya Dar es Salaam na Shinyanga, kwa pamoja na kwa vitendo vyao wakiwa wathamini walioajiriwa na Wizara ya Nishati na Madini waliisababisha serikali hasara ya kiasi hicho cha fedha.



Hivyo makala UPELELEZI KESI YA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI BILIONI 2.4/- MBIONI KUKAMILIKA

yaani makala yote UPELELEZI KESI YA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI BILIONI 2.4/- MBIONI KUKAMILIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UPELELEZI KESI YA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI BILIONI 2.4/- MBIONI KUKAMILIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/upelelezi-kesi-ya-kuisababishia-hasara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UPELELEZI KESI YA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI BILIONI 2.4/- MBIONI KUKAMILIKA"

Post a Comment