title : Mnasema nina Ukimwi mmenipima? .......Walionitupia Uchawi Nawaomba Msamaa Ili Nipone- Steve Nyerere
kiungo : Mnasema nina Ukimwi mmenipima? .......Walionitupia Uchawi Nawaomba Msamaa Ili Nipone- Steve Nyerere
Mnasema nina Ukimwi mmenipima? .......Walionitupia Uchawi Nawaomba Msamaa Ili Nipone- Steve Nyerere
Muigizaji huyo amekiambia kipindi cha Enewz ya EATV kuwa anashangaa kwanini kila mtu anaongea lake kuhusu kuumwa kwake huku wengine wakifika mbali zaidi kwa kudai kwamba ameathirika.
“Watu wananifuatilia kutaka kujua hali yangu kwa sababu mimi ni mtu maarufu, ni jambo jema lakini kama kuna watu wamenitupia vitu vya ajabu naomba wanisamehe, mimi ni binadamu labda kuna namna watu nimewakosea,” alisema Steve. “Lakini nashangaa kuna watu wanadai imeathirika mmenipima, yaani kila mtu anaongea lake,”
Steve amedai kwa sasa anasumbuliwa na mbavu, miguu na tayari ameanza kupatiwa matibabu.
Hivyo makala Mnasema nina Ukimwi mmenipima? .......Walionitupia Uchawi Nawaomba Msamaa Ili Nipone- Steve Nyerere
yaani makala yote Mnasema nina Ukimwi mmenipima? .......Walionitupia Uchawi Nawaomba Msamaa Ili Nipone- Steve Nyerere Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mnasema nina Ukimwi mmenipima? .......Walionitupia Uchawi Nawaomba Msamaa Ili Nipone- Steve Nyerere mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mnasema-nina-ukimwi-mmenipima.html
0 Response to "Mnasema nina Ukimwi mmenipima? .......Walionitupia Uchawi Nawaomba Msamaa Ili Nipone- Steve Nyerere"
Post a Comment