title : MKURUGENZI WA NURU FUNERAL SERVICES PAUL BEDA MOSHI AFARIKI DUNIA
kiungo : MKURUGENZI WA NURU FUNERAL SERVICES PAUL BEDA MOSHI AFARIKI DUNIA
MKURUGENZI WA NURU FUNERAL SERVICES PAUL BEDA MOSHI AFARIKI DUNIA
TANZIA
Familia ya Bwana Paul Beda Moshi inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa Paul Beda Moshi Mkurugenzi wa Nuru Funeral Services, kilichotokea siku ya Jumatano tarehe 3/1/2018.
Ibada ya kuuga mwili wa marehemu itafanyika siku ya Jumapili tarehe 7/1/2018 nyumbani kwake Kawe Mlalakuwa karibu na viwanja vya Lugalo Golf Club jijini Dar es Salaam, mazishi yatafanyija siku ya jumatatu ya tarehe 8/1/2018 nyumbani kwake Rombo Tarakea Mbomai.
Bwana ametoa Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe.
Kwa mawasiliano zaidi na jinsi ya kufika piga +255714270410 na +255713775238
Hivyo makala MKURUGENZI WA NURU FUNERAL SERVICES PAUL BEDA MOSHI AFARIKI DUNIA
yaani makala yote MKURUGENZI WA NURU FUNERAL SERVICES PAUL BEDA MOSHI AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI WA NURU FUNERAL SERVICES PAUL BEDA MOSHI AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mkurugenzi-wa-nuru-funeral-services.html
0 Response to "MKURUGENZI WA NURU FUNERAL SERVICES PAUL BEDA MOSHI AFARIKI DUNIA"
Post a Comment