Mfungwa Aliyedaiwa Kufa Afufuka Akiwa Chumba cha Kuhifadhia Maiti

Mfungwa Aliyedaiwa Kufa Afufuka Akiwa Chumba cha Kuhifadhia Maiti - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mfungwa Aliyedaiwa Kufa Afufuka Akiwa Chumba cha Kuhifadhia Maiti, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mfungwa Aliyedaiwa Kufa Afufuka Akiwa Chumba cha Kuhifadhia Maiti
kiungo : Mfungwa Aliyedaiwa Kufa Afufuka Akiwa Chumba cha Kuhifadhia Maiti

soma pia


Mfungwa Aliyedaiwa Kufa Afufuka Akiwa Chumba cha Kuhifadhia Maiti

 Mfungwa Aliyedaiwa Kufa Azinduka Akiwa Chumba cha Kuhifadhia Maiti
Mfungwa mmoja kaskazini mwa Uhispania alizinduka na kujipata akiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti baada ya kuthibitishwa kwamba alikuwa amefariki na madaktari watatu, vyombo vya habari Uhispania vinasema.

Gonzalo Montoya Jiménez alikuwa anazuiliwa katika gereza moja jimbo la Asturias na alizinduka saa chache tu kabla yake kufanyiwa upasuaji wa kubainisha chanzo cha kifo chake.

Mwili wake tayari ulikuwa umechorwa alama tayari kwa upasuaji.

Kwa sasa, amewekwa chini ya uangalizi wa madaktari katika chumba cha wagonjwa mahututi hospitali ya Oviedo.

Mmoja wa jamaa zake ameambia gazeti la La Voz de Asturias kwamba Montoya "alikuwa na alama ya kufanyiwa upasuaji, tayari kupasuliwa".

Inadhaniwa kwamba hicho kilikuwa kisa cha hali iitwayo 'catalepsy' duru katika hospitali hiyo zimeambia runinga ya Telecinco ya Uhispania.

Catalepsy ni hali ambapo ishara muhimu za uhai kwenye mwili wa binadamu hufifia kiasi cha kutoweza kutambulika.

"Kifo" chake kilikuwa kimethibitishwa na madaktari watatu gerezani ambao waliagiza mwili wake upelekwe kwenye ufuo kwa uchunguzi zaidi.

Mwili huo ulipelekwa ufuo wa Taasisi ya Matibabu ya Kisheria katika makao makuu ya jimbo Oviedo.


Hivyo makala Mfungwa Aliyedaiwa Kufa Afufuka Akiwa Chumba cha Kuhifadhia Maiti

yaani makala yote Mfungwa Aliyedaiwa Kufa Afufuka Akiwa Chumba cha Kuhifadhia Maiti Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mfungwa Aliyedaiwa Kufa Afufuka Akiwa Chumba cha Kuhifadhia Maiti mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mfungwa-aliyedaiwa-kufa-afufuka-akiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mfungwa Aliyedaiwa Kufa Afufuka Akiwa Chumba cha Kuhifadhia Maiti"

Post a Comment