title : Matukio : TANESCO Yatahadharisha wananchi Kutosogelea Miundombinu ya Umeme kipindi hiki cha Mvua
kiungo : Matukio : TANESCO Yatahadharisha wananchi Kutosogelea Miundombinu ya Umeme kipindi hiki cha Mvua
Matukio : TANESCO Yatahadharisha wananchi Kutosogelea Miundombinu ya Umeme kipindi hiki cha Mvua
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) linatoa tahadhari kwa Wateja wake na Wananchi kwa ujumla kuwa, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ni muhimu kuchukua tahadhari kwa.
Kutokufanya shughuli za Kibiashara karibu na miundombinu ya umeme.
Kutokaa karibu au katika Miundombinu ya umeme.
Kutokufanya shughuli za Kilimo katika miundombinu ya umeme.
Kutokugusa nyaya zilizoanguka.
Tafadhali usisogelee, usishike waya au nguzo zilizoanguka.
Tafadhali tusaidie kutupatia taarifa ya hitilafu au tatizo lolote la umeme kupitia mawasiliano yafuatayo,
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100
Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:
Mitandao ya kijamii
Twitter, http://www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook http://ift.tt/2CNxNsB
IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU
JANUARI 08, 2018
Hivyo makala Matukio : TANESCO Yatahadharisha wananchi Kutosogelea Miundombinu ya Umeme kipindi hiki cha Mvua
yaani makala yote Matukio : TANESCO Yatahadharisha wananchi Kutosogelea Miundombinu ya Umeme kipindi hiki cha Mvua Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : TANESCO Yatahadharisha wananchi Kutosogelea Miundombinu ya Umeme kipindi hiki cha Mvua mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/matukio-tanesco-yatahadharisha-wananchi.html
0 Response to "Matukio : TANESCO Yatahadharisha wananchi Kutosogelea Miundombinu ya Umeme kipindi hiki cha Mvua"
Post a Comment