Naibu Waziri Mhe.Shonza atoa wito kwa Wasanii Nchini kuhamasisha Utalii wa Ndani.

Naibu Waziri Mhe.Shonza atoa wito kwa Wasanii Nchini kuhamasisha Utalii wa Ndani. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Naibu Waziri Mhe.Shonza atoa wito kwa Wasanii Nchini kuhamasisha Utalii wa Ndani., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Naibu Waziri Mhe.Shonza atoa wito kwa Wasanii Nchini kuhamasisha Utalii wa Ndani.
kiungo : Naibu Waziri Mhe.Shonza atoa wito kwa Wasanii Nchini kuhamasisha Utalii wa Ndani.

soma pia


Naibu Waziri Mhe.Shonza atoa wito kwa Wasanii Nchini kuhamasisha Utalii wa Ndani.


Mwambawahabari
 Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Idara  ya Utalii Hifadhi ya Taifa Ziwa Manyara Bibi. Eva Mallya (kulia) baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara (Lake Manyara National Park) ikiwa ni hatua ya kuhamasisha utalii wa ndani chini ya uratibu wa taasisi ya Tanzania Gospel Artist Network (TAGOANE)  Jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (wa kwanza kulia) akingalia ramani inayonyesha vivutio mbalimbali pamoja na wanyama wanaopatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara jana Jijini Arusha  wakati wa ziara ya kutembele hifadhi hiyo, wengine ni Rais wa taasisi ya Tanzania Gospel Artist Network (TAGOANE) Dkt. Godwin Maimu (katikati) na kulia ni Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara Bibi. Noelia  Myonga.
 Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia) akipokea cover ya tairi la gari lenye nembo ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara kutoka kwa  Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara Bibi. Noelia Myonga .

 Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) akisikiliza maelekezo kutoka kwa Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara Bibi. Noelia  Myonga kuhusu chemchem ya maji moto ambayo inapatikana katika hifadhi  hiyo alipofanya ziara ya kuhamasisha utalii wa ndani kwa wasanii na watanzania kwa ujumla  lengo ni kuwa na utamaduni wa kutembelea vivutio hivyo .
Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) akiangalia uoto wa asili ambao hupatikana katika Hifadhi ya Taifa ya ya Ziwa Manyara wakati wa ziara ya kutembelea hifadhi hiyo  hapo jana Jijini Arusha chini ya uratibu wa Taasisi ya Tanzania Gospel Artist Network (TAGOANE).
 Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) akiwashukuru wasanii na wajasiriamali kutoka Jiji la Arusha ambao aliambatana nao katika ziara ya kuhamasisha  utalii wa ndani, iliyoratibiwa na Taasisi ya Tanzania Gospel Artist Network (TAGOANE) lengo ikiwa ni kuwajengea watanzania utamaduni wa kupenda kutembelea vivutio mbalimbali vilivyopo nchini ili kukuza uchumi wa nchi.  ( Picha na Lorietha Laurence-WHUSM,Arusha)


Hivyo makala Naibu Waziri Mhe.Shonza atoa wito kwa Wasanii Nchini kuhamasisha Utalii wa Ndani.

yaani makala yote Naibu Waziri Mhe.Shonza atoa wito kwa Wasanii Nchini kuhamasisha Utalii wa Ndani. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri Mhe.Shonza atoa wito kwa Wasanii Nchini kuhamasisha Utalii wa Ndani. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/naibu-waziri-mheshonza-atoa-wito-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Naibu Waziri Mhe.Shonza atoa wito kwa Wasanii Nchini kuhamasisha Utalii wa Ndani."

Post a Comment