Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) yashiriki mafunzo ya siku mbili ya uongozi

Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) yashiriki mafunzo ya siku mbili ya uongozi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) yashiriki mafunzo ya siku mbili ya uongozi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) yashiriki mafunzo ya siku mbili ya uongozi
kiungo : Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) yashiriki mafunzo ya siku mbili ya uongozi

soma pia


Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) yashiriki mafunzo ya siku mbili ya uongozi


Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) inayoongozwa na Mwenyekiti Prof. John Kondoro imeshiriki mafunzo ya siku mbili ya uongozi kwa wajumbe wa Bodi (Board Leadership Training) yalioandaliwa na Menejimenti ya shirika la Reli na kuratibiwa na Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania (Institute of Directors in Tanzania) kuanzia tarehe 2 - 3 Juni katika ukumbi wa Bodi, jengo la LAPF jijini Dodoma.

Lengo la kuandaa mafunzo ni kuwajengea uwezo wajumbe wa Bodi katika shughuli za uendeshaji wa Shirika. Bodi ya Shirika la Reli Tanzania imeundwa na wajumbe nane (8) wenye ujuzi mbalimbali kwa kufuata sheria mpya ya Reli namba 10 ya Mwaka 2017. Bodi ya Shirika la Reli ilizinduliwa rasmi tarehe 11 mwezi Juni 2018 na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa.

Wajumbe.

1. Prof. John Kondoro-Mwenyekiti
2. Eng. Karim Mattaka-Mjumbe
3. Dkt. Jabiri Bakari-Mjumbe
4. Masanja Kadogosa-Katibu wa bodi
5. Eng. Rogers Mativila
6. Rukia Shamte-Mjumbe
7. Edson Mweyunge-Mjumbe
8. Wolfgang Ephraim Salia-Mjumbe 9. MahamudMabuyu-Mjumbe


Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania Ndugu Masanja Kadogosa akitoa mfano alipokuwa akifafanua jambo walilokuwa wakijadili katika mafunzo ya wajumbe wa Bodi mpya ya TRC yaliyofanyika jijini Dodoma, tarehe 2 Juni 2018.
Katibu wa Bodi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Ndg. Masanja Kadogosa akiwakaribisha wajumbe wa Bodi mpya ya TRC wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na menejimenti ya TRC.
Mjumbe wa Bodi kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (wa kwanza kulia) Eng. Mattaka akielezea jambo kwa kina huku mwenyekiti Prof. Kondoro na mwezeshaji Ndugu Said Kambi wakifuatilia kwa makini.

Dr. Jabiri Bakari (katikati) akielezea jambo kwa msisitizo wakati wa mafunzo ya wajumbe wa Bodi ya TRC yaliyoandaliwa na menejimenti ya Shirika la Reli Tanzania na kufanyika jijini Dodoma.
Picha ya pamoja ya wajumbe wa Bodi mpya ya Shirika la Reli Tanzania, waratibu kutoka Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania na Sektretarieti ya Shirika la Reli Tanzania katika jengo la LAPF jijini Dodoma.


Hivyo makala Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) yashiriki mafunzo ya siku mbili ya uongozi

yaani makala yote Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) yashiriki mafunzo ya siku mbili ya uongozi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) yashiriki mafunzo ya siku mbili ya uongozi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/bodi-ya-shirika-la-reli-tanzania-trc.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) yashiriki mafunzo ya siku mbili ya uongozi"

Post a Comment