title : MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. BILAL AFUNGUA BARABARA YA FUONI MELI TANO KWARARA ZANZIBAR WAFANYIKA
kiungo : MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. BILAL AFUNGUA BARABARA YA FUONI MELI TANO KWARARA ZANZIBAR WAFANYIKA
MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. BILAL AFUNGUA BARABARA YA FUONI MELI TANO KWARARA ZANZIBAR WAFANYIKA
Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Muhammed Gharib Bilal alipokata utepe kuashiria kufungua Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kushoto yake ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Baloz Ali Abeid Karume.
Barabara ya Fuoni Meli Tano Kwarara yenye urefu wa kilomita mbili iliofunguliwa na Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Muhammed Gharib Bilal.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Muhammed Gharib Bilal akikunjuwa kitambaa kuashiria kufungua Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika Ufunguzi wa Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Baloz Ali Abeid Karume akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Muhammed Gharib Bilal akisisitiza jambo alipotoa hotuba ya ufunguzi wa Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. BILAL AFUNGUA BARABARA YA FUONI MELI TANO KWARARA ZANZIBAR WAFANYIKA
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. BILAL AFUNGUA BARABARA YA FUONI MELI TANO KWARARA ZANZIBAR WAFANYIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. BILAL AFUNGUA BARABARA YA FUONI MELI TANO KWARARA ZANZIBAR WAFANYIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-rais-mstaafu-dkt-bilal.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. BILAL AFUNGUA BARABARA YA FUONI MELI TANO KWARARA ZANZIBAR WAFANYIKA"
Post a Comment