title : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUA UMEME KISIWA CHA FUNDO PEMBA LEO
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUA UMEME KISIWA CHA FUNDO PEMBA LEO
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUA UMEME KISIWA CHA FUNDO PEMBA LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Usambazaji wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo kisiwani Pemba ikiwa katika shamra shamra za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho huko Fundo Wilaya ya Wete.(Picha na Ikulu) .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Kisiwa cha Fundo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umeme.(Picha na Ikulu).
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUA UMEME KISIWA CHA FUNDO PEMBA LEO
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUA UMEME KISIWA CHA FUNDO PEMBA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUA UMEME KISIWA CHA FUNDO PEMBA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-wa-zanzibar-dk-shein-azindua-umeme.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUA UMEME KISIWA CHA FUNDO PEMBA LEO"
Post a Comment