title : Prof. Elisante Aagiza Kiwanda cha Viuadudu Kujitangaza
kiungo : Prof. Elisante Aagiza Kiwanda cha Viuadudu Kujitangaza
Prof. Elisante Aagiza Kiwanda cha Viuadudu Kujitangaza
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Profesa Elisante Ole Gabriel akiongoza kikao alipokutana na uongozi wa kiwanda cha Uzalishaji wa Viuadudu (Tanzania Biotech Production Limited) katika ziara yake ya kikazi jana Wilayani Kibaha. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) Bw. Ramson Mwilangali.
Kaimu Meneja wa Kiwanda cha Kuzazilisha Viuadudu (Tanzania Biotech Production Limited) Bw. Samwel Mziray akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya kiwanda hicho wakati wa ziara ya kikazi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Profesa Elisante Ole Gabriel (kushoto) jana Wilayani Kibaha. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji (Biashara na Uwekezaji) Prof. Joseph Rwegasira Bushweishaija
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Profesa Elisante Ole Gabriel Profesa Elisante Ole Gabriel akisikiliza maelezo kuhusu dawa za kuulia mazalia ya mbu toka kwa Meneja wa Uzalishaji katika kiwanda cha Uzalishaji wa Viuadudu (Tanzania Biotech Production Limited) Mhandisi Aggrey Ndunguru alipotembelea katika kiwanda hicho jana Wilayani Kibaha. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo anayeshughulikia Biashara na Uwekezaji Prof. Joseph Rwegasira Bushweishaija .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Profesa Elisante Ole Gabriel akisoma maelezo katika chupa ndogo ya dawa za kuulia mazalia ya mbu alipotembelea kiwanda cha kuzalisha dawa hizo cha Tanzania Biotech Production Limited kilichopo Kibaha Mkoani Pwani jana. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) Ramson Mwilangali na Mhandisi Aggrey Ndunguru.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Profesa Elisante Ole Gabriel akikagua mitambo ya kuzalishia bacteria ambayo hutumika katika kiwanda cha Uzalishaji wa Viuadudu (Tanzania Biotech Production Limited) wakati wa ziara yake jana Wilayani Kibaha mkoani Pwani. Kushoto ni Meneja Uzalishaji wa kiwanda hicho Mhandisi Aggrey Ndunguru.
Hivyo makala Prof. Elisante Aagiza Kiwanda cha Viuadudu Kujitangaza
yaani makala yote Prof. Elisante Aagiza Kiwanda cha Viuadudu Kujitangaza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Prof. Elisante Aagiza Kiwanda cha Viuadudu Kujitangaza mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/prof-elisante-aagiza-kiwanda-cha.html
0 Response to "Prof. Elisante Aagiza Kiwanda cha Viuadudu Kujitangaza"
Post a Comment