JOTO, MSONGAMANO, KUCHELEWA KWA HUDUMA JNIA KWASABABISHA MAWAZIRI WANNE KUKUTANA

JOTO, MSONGAMANO, KUCHELEWA KWA HUDUMA JNIA KWASABABISHA MAWAZIRI WANNE KUKUTANA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JOTO, MSONGAMANO, KUCHELEWA KWA HUDUMA JNIA KWASABABISHA MAWAZIRI WANNE KUKUTANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JOTO, MSONGAMANO, KUCHELEWA KWA HUDUMA JNIA KWASABABISHA MAWAZIRI WANNE KUKUTANA
kiungo : JOTO, MSONGAMANO, KUCHELEWA KWA HUDUMA JNIA KWASABABISHA MAWAZIRI WANNE KUKUTANA

soma pia


JOTO, MSONGAMANO, KUCHELEWA KWA HUDUMA JNIA KWASABABISHA MAWAZIRI WANNE KUKUTANA

Said Mwishehe,Globu ya jamii

MAWAZIRI wa wizara nne tofauti wameamua kufanya jitihada za kuondoa changamoto ya utoaji huduma kwa muda mrefu na kusababisha msongamano wa wageni wanaiongia na kutoka nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijijini Dar es Salaam.

Pia kuondoa changamoto ya joto katika eneo la kuchukulia mizigo pamoja na kushughukikia hati za kusafiria kwa wageni wanaoingia nchini pamoja na changamoto ya ufinyu wa eneo la kusubiri huduma uwanjani hapo.

Mawaziri hao ambao wamekutana leo katika uwanja huo na kukagua shughuli za utoaji huduma ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala,

Wengine ni Waziri wa Mambo ya Ndani Dk.Mwigulu Nchemba na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Dk.Susan Kolimba na Naibu Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye. Akizungumza baada ya kufanya ziara hiyo,Waziri wa Mambo ya ndani Ndani Dk.Nchemba amesema kuwa jitihada mbalimbali zinafanywa kutatua changamoto hizo.

Ametaja hatua ambazo wizara yake inachukua ni kuharakisha utoaji huduma wa hati za kusafiria kwa njia ya kieletroniki. Pia wameamua kuongeza idadi ya madawati ya kutolea huduma kwa wageni ikiwa sambamba na kuongeza watoaji huduma ili kurahisisha utoaji huduma wa muda mfupi.

“Taarifa zinaonesha kuwa kwa sasa kuna unafuu mkubwa wa kutoa huduma kwani badala ya saa tatu ambazo zilikuwa zinatumia awali hivi sasa muda wa utoaji huduma umeshuka hadi saa moja.Lengo letu ni kushuka zaidi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Nchemba akizungumza na Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto) wakati walipofanya ziara ya kukagua Changamoto mbalimbali zilizopo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es salaam leo. Wengine ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala (katika) na kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Susan Kolimba wakisikiliza.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Susan Kolimba akizunumza na waandishi wa habari baada ya kukamilika kwa ziara ya kukagua changamoto mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es salaam leo kushoto kwake ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala (katikati) akiongozana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Susan Kolimba (kushoto) na, Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Atashasta Nditiye (kulia) 
Kutoka kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Nchemba, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Susan Kolimba, Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala, Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Atashasta Nditiye na Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Richard Mayongela wakitafakari jambo wakati wa ziara ya kukagua changamoto mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kukagua changamoto mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam leo wengine ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Nchemba, Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Atashasta Nditiye na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Susan Kolimba.



Hivyo makala JOTO, MSONGAMANO, KUCHELEWA KWA HUDUMA JNIA KWASABABISHA MAWAZIRI WANNE KUKUTANA

yaani makala yote JOTO, MSONGAMANO, KUCHELEWA KWA HUDUMA JNIA KWASABABISHA MAWAZIRI WANNE KUKUTANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JOTO, MSONGAMANO, KUCHELEWA KWA HUDUMA JNIA KWASABABISHA MAWAZIRI WANNE KUKUTANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/joto-msongamano-kuchelewa-kwa-huduma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JOTO, MSONGAMANO, KUCHELEWA KWA HUDUMA JNIA KWASABABISHA MAWAZIRI WANNE KUKUTANA"

Post a Comment