title : Hafla ya Chakula Kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar.
kiungo : Hafla ya Chakula Kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar.
Hafla ya Chakula Kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wafanyabishara waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa na Viongozi mbali mbali katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,ambapo kikundi cha Taarab cha Culture Muzical Club kilitumbiza katika hafla hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi Cheti Bw.Jacob Moywaywa kutoka Hotel ya Breezes Beach akiwa ni miongozi mwa wachangiaji wa kiwango cha juu katika kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar katika hafla ya chakula cha hisani iliyofanyika jana ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi Cheti Mkurugenzi Mkuu Abdukadir Mohamed Bujeti kutoka MECCO akiwa ni miongozi mwa wachangiaji wa kiwango cha juu katika kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar katika hafla ya chakula cha hisani iliyofanyika jana ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi Cheti Bw.Ali Kilupy kutoka Kendwa Roky Hotel akiwa ni miongozi mwa wachangiaji wa kiwango cha juu katika kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar katika hafla ya chakula cha hisani iliyofanyika jana ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akipokea zawadi maalum kutoka kwa Dkt.Maua Abeid Daftari Mwenyekiti wa kamati ya kuhamasisha uchangiaji wa mfuko wa maendeleo ya UWT katika hafla ya Chakula cha hisani cha kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
Hivyo makala Hafla ya Chakula Kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar.
yaani makala yote Hafla ya Chakula Kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Hafla ya Chakula Kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/hafla-ya-chakula-kuchangia-mfuko-wa.html
0 Response to "Hafla ya Chakula Kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar."
Post a Comment