title : Kutoka Bunge Mjini Dodoma leo.
kiungo : Kutoka Bunge Mjini Dodoma leo.
Kutoka Bunge Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalaimiana na Naibu Mawaziri kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Aprili 19, 2017. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi Mhandisi Stella Manyanya, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa kwenye jengo la utawala la bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Kutoka Bunge Mjini Dodoma leo.
yaani makala yote Kutoka Bunge Mjini Dodoma leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kutoka Bunge Mjini Dodoma leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/kutoka-bunge-mjini-dodoma-leo.html
0 Response to "Kutoka Bunge Mjini Dodoma leo."
Post a Comment