title : BALOZI POSSI AJITAMBULISHA RASMI KWA RAIS WA AUSTIA
kiungo : BALOZI POSSI AJITAMBULISHA RASMI KWA RAIS WA AUSTIA
BALOZI POSSI AJITAMBULISHA RASMI KWA RAIS WA AUSTIA
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani anayehudumia pia Austria, Balozi Abdallah Possi akiwasili katika Ikulu ya Viena, nchini Austria kwa kujitambulisha rasmi kwa Rais wa nchi hiyo, Dkt. Alexander Van der Bellen. Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani unahudumia pia Austria, miongoni mwa maeneo yake ya uwakilishi.
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani anayehudumia pia Austria, Balozi Abdallah Possi akiwasilisha hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Austria, Dkt. Alexander Van der Bellen katika hafla fupi ya kujitambulisha iliyofanyika Ikulu ya nchi hiyo, leo.
Rais wa Jamhuri ya Austria, Dkt. Alexander Van der Bellen akizungumza jambo na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani anayehudumia pia Austria, Balozi Abdallah Possi, aliyefika Ikulu hapo kujitambulisha.
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani anayehudumia pia Austria, Balozi Abdallah Possi akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Austria, Dkt. Alexander Van der Bellen.
Hivyo makala BALOZI POSSI AJITAMBULISHA RASMI KWA RAIS WA AUSTIA
yaani makala yote BALOZI POSSI AJITAMBULISHA RASMI KWA RAIS WA AUSTIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI POSSI AJITAMBULISHA RASMI KWA RAIS WA AUSTIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/balozi-possi-ajitambulisha-rasmi-kwa.html
0 Response to "BALOZI POSSI AJITAMBULISHA RASMI KWA RAIS WA AUSTIA"
Post a Comment