title : WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEWA NA BALOZI WA UJERUMANI
kiungo : WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEWA NA BALOZI WA UJERUMANI
WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEWA NA BALOZI WA UJERUMANI
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,jinsia,Wazee na watoto Ummy Mwalimu (kushoto) akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter kwenye ofisi yake ndogo Jijini Dar es Salaam.Mazungumzo hayo yamelenga kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya Afya
Waziri Ummy Mwalimu (kushoto) akimuelezea jambo Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter kwenye ofisi yake ndogo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,jinsia,Wazee na watoto Ummy mwalimu (kushoto) akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter kwenye ofisi yake ndogo Jijini Dar es Salaam.Mazungumzo hayo yamelenga kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya Afya
Hivyo makala WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEWA NA BALOZI WA UJERUMANI
yaani makala yote WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEWA NA BALOZI WA UJERUMANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEWA NA BALOZI WA UJERUMANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/waziri-ummy-mwalimu-atembelewa-na.html
0 Response to "WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEWA NA BALOZI WA UJERUMANI"
Post a Comment