TTCL YATOA POLE YA MILIONI 25 MAAFA YA KIVUKO CHA MV NYERERE

TTCL YATOA POLE YA MILIONI 25 MAAFA YA KIVUKO CHA MV NYERERE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TTCL YATOA POLE YA MILIONI 25 MAAFA YA KIVUKO CHA MV NYERERE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TTCL YATOA POLE YA MILIONI 25 MAAFA YA KIVUKO CHA MV NYERERE
kiungo : TTCL YATOA POLE YA MILIONI 25 MAAFA YA KIVUKO CHA MV NYERERE

soma pia


TTCL YATOA POLE YA MILIONI 25 MAAFA YA KIVUKO CHA MV NYERERE



Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) limetoa mchango wa pole ya shilingi Milioni 25 kusaidia katika maafa ya ajali ya Kivuko cha MV. Nyerere iliyotokea wiki iliyopita Kisiwani Ukerewe, Mkoa wa Mwanza. Pichani kulia ni Meneja wa TTCL Mkoa wa Mwanza, Bw. Jalili Bakari kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Tanzania, Ndugu Waziri Kindamba akikabidhi nakala ya hundi ya malipo hayo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela akishuhudia.
Meneja wa TTCL Mkoa wa Mwanza, Bw. Jalili Bakari kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Tanzania, Ndugu Waziri Kindamba akizungumza mara baada ya kukabidhi nakala ya hundi ya malipo ya mchango wa pole ya shilingi Milioni 25 iliyotolewa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) ikiwa ni pole yao kwa maafa ya ajali ya Kivuko cha MV. Nyerere iliyotokea hivi karibuni kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela akishuhudia.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela katikati akishukuru mara baada ya kupokea pole hiyo ya shilingi Milioni 25 kusaidia katika maafa ya ajali ya Kivuko cha MV. Nyerere.


Hivyo makala TTCL YATOA POLE YA MILIONI 25 MAAFA YA KIVUKO CHA MV NYERERE

yaani makala yote TTCL YATOA POLE YA MILIONI 25 MAAFA YA KIVUKO CHA MV NYERERE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TTCL YATOA POLE YA MILIONI 25 MAAFA YA KIVUKO CHA MV NYERERE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/ttcl-yatoa-pole-ya-milioni-25-maafa-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TTCL YATOA POLE YA MILIONI 25 MAAFA YA KIVUKO CHA MV NYERERE"

Post a Comment