title : WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA WASILI MKOANI DODOMA LEO
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA WASILI MKOANI DODOMA LEO
WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA WASILI MKOANI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Dodoma wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Desemba 5, 2017, baada ya safari ya Singida, Lindi na Dar es salaam. Kulia kwake ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mekewe Mary wakiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Benilith Mahenge wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Desemba 5, 2017. Mheshimiwa Majaliwa amerejea Dodoma baada ya safari katika mikoa ya Singida, Lindi na Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA WASILI MKOANI DODOMA LEO
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA WASILI MKOANI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA WASILI MKOANI DODOMA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/waziri-mkuu-kassimu-majaliwa-wasili.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA WASILI MKOANI DODOMA LEO"
Post a Comment