DC MURO AZIPIGA STOP KAMPUNI ZOTE ZINAZOJIHUSISHA NA UDALALI WA VIWANJA ARUMERU

DC MURO AZIPIGA STOP KAMPUNI ZOTE ZINAZOJIHUSISHA NA UDALALI WA VIWANJA ARUMERU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MURO AZIPIGA STOP KAMPUNI ZOTE ZINAZOJIHUSISHA NA UDALALI WA VIWANJA ARUMERU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MURO AZIPIGA STOP KAMPUNI ZOTE ZINAZOJIHUSISHA NA UDALALI WA VIWANJA ARUMERU
kiungo : DC MURO AZIPIGA STOP KAMPUNI ZOTE ZINAZOJIHUSISHA NA UDALALI WA VIWANJA ARUMERU

soma pia


DC MURO AZIPIGA STOP KAMPUNI ZOTE ZINAZOJIHUSISHA NA UDALALI WA VIWANJA ARUMERU

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mh. Jerry Muro ameendelea kutatua kero na changamoto zinazowakabili wananchi wa Wilaya ya Arumeru ikiwemo kero sugu ya changamoto ya migogoro ya ardhi.

Dc Muro kupitia mkakati wake wa kutatua kero za wananchi ( PAPO KWA PAPO ) amefanikiwa kutatua kero ya utapeli wa kuuziwa viwanja vyenye migogogoro kwa kuamuru baadhi ya wamiliki wa makampuni yanayojishughulisha na biashara ya viwanja ( REAL ESTATE ) kurudisha fedha za wananchi waliouziwa viwanja vyenye matatizo ndani ya mwezi mmoja.

Aidha Dc Muro amezipiga marufuku kampuni zoote zinazojihisisha na udalali wa viwanja kutokufanya kazi katika Wilaya ya Arumeru mpaka hapo watakapopata maelekezo rasmi kutoka katika Ofisini ya Mkuu wa Wilaya lengo likiwa ni kukabiliana na ongezeko la uuzwaji wa ardhi za vijiji pasipo kufuata taratibu.

DC Muro anaendelea na zoezi lake lakushughulikia kero za Wananchi kwa mtindo wa PAPO KWA PAPO.
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mh. Jerry Muro akizungumza na na baadhi ya wamiliki wa makampuni yanayojishughulisha na biashara ya viwanja ( REAL ESTATE ),ambapo amezisimamisha kampuni hizo kufanya shughuli hiyo na kuwata kurudisha fedha za wananchi waliouziwa viwanja vyenye matatizo ndani ya mwezi mmoja. 
Baadhi ya Wakazi wa Arumeru wakimsikiliza Mkuu wa wilaya hiyo ya Arumeru Mh. Jerry Muro alipokuwa akizungumza nao kuhusu kero na changamoto mbalimbali walizonazo,kuhakikisha zinapatiwa ufumbuzi na majibu ya papo kwa papo.


Hivyo makala DC MURO AZIPIGA STOP KAMPUNI ZOTE ZINAZOJIHUSISHA NA UDALALI WA VIWANJA ARUMERU

yaani makala yote DC MURO AZIPIGA STOP KAMPUNI ZOTE ZINAZOJIHUSISHA NA UDALALI WA VIWANJA ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MURO AZIPIGA STOP KAMPUNI ZOTE ZINAZOJIHUSISHA NA UDALALI WA VIWANJA ARUMERU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/dc-muro-azipiga-stop-kampuni-zote.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC MURO AZIPIGA STOP KAMPUNI ZOTE ZINAZOJIHUSISHA NA UDALALI WA VIWANJA ARUMERU"

Post a Comment