title : Inna lillah wainna ilayhi raajiuun.Msiba wa Ndugu yetu Safia Maneno Suleiman.
kiungo : Inna lillah wainna ilayhi raajiuun.Msiba wa Ndugu yetu Safia Maneno Suleiman.
Inna lillah wainna ilayhi raajiuun.Msiba wa Ndugu yetu Safia Maneno Suleiman.
Mwanariadha mstaafu mahiri wa Zanzibar Bi safia maneno amefariki dunia maziko leo kwahani mchanga mwingi saa 7Safia Maneno Suleiman ni miongoni mwa wanariadha walioiletea sifa kubwa Zanzibar miaka ya 70 hadi 80 mwanzoni
Msiba utafanyika kwahani
Mchanga msingi Saa Saba leo.
Inna lillah wainna ilayhi raajiuun Allah amlaze mahala pema Peponi Amin
Hivyo makala Inna lillah wainna ilayhi raajiuun.Msiba wa Ndugu yetu Safia Maneno Suleiman.
yaani makala yote Inna lillah wainna ilayhi raajiuun.Msiba wa Ndugu yetu Safia Maneno Suleiman. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Inna lillah wainna ilayhi raajiuun.Msiba wa Ndugu yetu Safia Maneno Suleiman. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/inna-lillah-wainna-ilayhi-raajiuunmsiba.html
0 Response to "Inna lillah wainna ilayhi raajiuun.Msiba wa Ndugu yetu Safia Maneno Suleiman."
Post a Comment