UPDATES YA MAZISHI YA MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.

UPDATES YA MAZISHI YA MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UPDATES YA MAZISHI YA MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UPDATES YA MAZISHI YA MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.
kiungo : UPDATES YA MAZISHI YA MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.

soma pia


UPDATES YA MAZISHI YA MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.

Mayage S.Mayage kuzikwa Mbweni Jijini Dar Alhamis

MWANDISHI wa habari mwandamizi, Mayage Mayage, (56), amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda.

Mayage amekutwa na umauti katika Hospitali ya Misheni ya Mbweni, Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa kwa muda wa wiki mbili.Taarifa kutoka kwa mdogo wake Emmanuel Mayage, alisema kuwa madaktari waligundua kaka yake kuugua saratani na kifua kikuu (TB).

Emmanuel alisema kuwa Mayage atazikwa Alhamis Desemba 28, 2017 katika makaburi ya Mbweni, eneo linaloitwa Maputo.Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu Mbweni Kijijini, eneo la Maputo ambako ndugu na jamaa wanakutana.


NAMNA YA KUFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU.


Msiba uko nyumbani kwake Mbweni Kijijini, Dar es Salaam, eneo la Mbweni Maputo,siyo mbali na hospitali ya Mbweni Misheni.

Ukiwa unatokea Mwenge unapanda daladala ziendazo Mbweni, unashukia kituo cha Mbweni Misheni, kisha hatua chache mbele kuna njia inayokwenda kushoto ituate hiyo.Ifuate barabara hiyo kwa kuongozwa vibao vinavyoelekeza kuelekeza msiba ulipo mpaka utakapofika nyumbani kwa marehemu, ambaye ni maarufu kama Mzee wa Magazeti.

Njia nyingine ni kupanda mabasi ya Makumbusho-Bunju/Magamoyo, shukia  kituo cha Mianzini Bunju.
Hapo chukua bodaboda kwa gharama ya 3000/= hivi hadi mbele kidogo ya Mbweni Misheni Hospitali.Hapo kata kushoto na muelekeze bodaboda afuate vibao vya kuelekeza msiba hadi nyumbani kwa marehemu.

Kwa wenye usafiri binfsi; unaweza kufika kwa njia mbili:

1.Ukitoka Mwenge nenda mpaka Petrol Station ya Lake Oil eneo la Bunju.Hapo kuna barabara ya lami kuelekea Mbweni.Ifuate hadi Mbweni Misheni Hospitali.Baada ya hapo kata kushoto.Fuata vibao vya msiba.

2.Ukitoka Mwenge nenda hadi njia panda Mbweni,fuata njia ya daladala, pita mageti ya Jeshi hadi Mbweni Kijijini.Endelea mbele hadi Mbweni Misheni Hospitali.Sogea mbele kidogo, halafu kata kushoto na anza kufuata maelekezo ya vibao vya msiba.



Hivyo makala UPDATES YA MAZISHI YA MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.

yaani makala yote UPDATES YA MAZISHI YA MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UPDATES YA MAZISHI YA MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/updates-ya-mazishi-ya-mwandishi-mkongwe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UPDATES YA MAZISHI YA MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE."

Post a Comment