title : SHEREHE ZA UVISHWAJI PETE WAKINA MAMA WALEZI WA SOS YAFANYIKA ZANZIBAR
kiungo : SHEREHE ZA UVISHWAJI PETE WAKINA MAMA WALEZI WA SOS YAFANYIKA ZANZIBAR
SHEREHE ZA UVISHWAJI PETE WAKINA MAMA WALEZI WA SOS YAFANYIKA ZANZIBAR
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akipunga mkono ikiwa ni ishara ya kuwasalimia wananchi mbalimbali waliohudhuria katika sherehe ya Uvishwaji Pete wakinamama wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar hafla iliofanyika katika kiwanja cha SOS Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguj.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Rais wa SOS Duniani Father Siddhartha Kaul mara baada ya kuwasili katika Kiwanja cha SOS Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguja katika Sherehe ya Uvishwaji Pete wakinamama wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar.katikati ni Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Shadya Mohammed Suleiman.
Wakina mama walezi 18 wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar waliovishwa Pete katika sherehe zilizofanyika katika kiwanja cha SOS Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguj.
Duniani Father Siddhartha Kaul akitoa hotuba yake kuhusianana lengo la kuwekwa vituo vya kulelea watoto SOS Duniani katika sherehe ya Uvishwaji Pete wakinamama wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar hafla iliofanyika katika kiwanja cha SOS Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguj.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein kushoto akimvisha Pete ya SOS Mama mlezi wa SOS Fatma Suleiman Haji anaelea Watoto Nyumba Namba Nne katika sherehe ya Uvishwaji Pete wakinamama wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar hafla iliofanyika katika kiwanja cha SOS Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguj.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein wanne kutoka kulia akiwa na Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Shadya Mohammed Suleiman katika Picha ya pamoja na Wakina mama walezi waliovishwa Pete katika sherehe ya Uvishwaji Pete wakinamama wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar hafla iliofanyika katika kiwanja cha SOS Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguj.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala SHEREHE ZA UVISHWAJI PETE WAKINA MAMA WALEZI WA SOS YAFANYIKA ZANZIBAR
yaani makala yote SHEREHE ZA UVISHWAJI PETE WAKINA MAMA WALEZI WA SOS YAFANYIKA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHEREHE ZA UVISHWAJI PETE WAKINA MAMA WALEZI WA SOS YAFANYIKA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/sherehe-za-uvishwaji-pete-wakina-mama.html
0 Response to "SHEREHE ZA UVISHWAJI PETE WAKINA MAMA WALEZI WA SOS YAFANYIKA ZANZIBAR"
Post a Comment