title : RAIS WA TFF WALAACE KARIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI DEC 27 MWAKA HUU
kiungo : RAIS WA TFF WALAACE KARIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI DEC 27 MWAKA HUU
RAIS WA TFF WALAACE KARIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI DEC 27 MWAKA HUU
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia atakutana na Wahariri wa Habari za Michezo Jumatano Desemba 27, 2017.
Pamoja na mambo mengine Rais Karia atazungumzia miezi minne tokea uongozi uliopo umeingia madarakani pamoja na vitu vilivyofanyika katika muda huo.
Aidha Rais Karia ataelezea changamoto mbalimbali zilizopo TFF pamoja na njia gani inatumika/Itatumika kuweza kupiga hatua kwa mpira wa Tanzania.
Taarifa zaidi za mkutano huo wa Rais Karia na Wahariri,mahali utakapofanyika pamoja na mualiko utatolewa kwa vyombo vya habari.
Huu ni mkutano wa kwanza wa Rais Karia na Wahariri wa habari za Michezo tokea ameingia madarakani.
Rais Karia aliingia madarakani August 12, 2017 kwenye uchaguzi uliofanyika mkoani Dodoma baada ya kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi ambao pia uliwaingiza madarakani Michael Wambura kwenye nafasi ya makamu wa Rais.
Wajumbe wa kamati ya utendaji waliongia madarakani kwenye uchaguzi huo ni pamoja na
Hivyo makala RAIS WA TFF WALAACE KARIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI DEC 27 MWAKA HUU
yaani makala yote RAIS WA TFF WALAACE KARIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI DEC 27 MWAKA HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA TFF WALAACE KARIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI DEC 27 MWAKA HUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/rais-wa-tff-walaace-karia-kukutana-na.html
0 Response to "RAIS WA TFF WALAACE KARIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI DEC 27 MWAKA HUU"
Post a Comment