YANGA YATEUA KAMATI YA MABADILIKO IKIONGOZWA NA ALEX MGONGOLWA

YANGA YATEUA KAMATI YA MABADILIKO IKIONGOZWA NA ALEX MGONGOLWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA YATEUA KAMATI YA MABADILIKO IKIONGOZWA NA ALEX MGONGOLWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA YATEUA KAMATI YA MABADILIKO IKIONGOZWA NA ALEX MGONGOLWA
kiungo : YANGA YATEUA KAMATI YA MABADILIKO IKIONGOZWA NA ALEX MGONGOLWA

soma pia


YANGA YATEUA KAMATI YA MABADILIKO IKIONGOZWA NA ALEX MGONGOLWA


Katibu Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Klabu ya Yanga imeuanza rasmi mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji kwa kumteua Wakili Alex Mgongolwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo..

Mgongolwa atasaidiwa na wajumbe watano ambao ni Mheshimiwa Said Mecky Sadick, Profesa Mgongo Fimbo, Felix Mrema, George Fumbuka na Mohammed Nyengi.

Kamati hiyo imetangazwa leo Ijumaa na Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Boniface Mkwasa ikiwa ni siku chache tu tangu watani wao Simba kupitisha mchakato huo na kumpata mwekezaji ambaye alishinda zabuni hiyo.

Yanga wao wamefuata Katiba yao ya mwaka 2010 inayoelekeza kuwa mwekezaji ni lazima awe na asilimia 49 na 51 ziwe za wanachama kwa maana ya klabu kama serikali ilivyofanya mabadiliko ya Katiba katika kipengele cha mfumo wa uendeshaji wa Hisa.

Mbali na hilo Kamati ya utendaji ya klabu ya Yanga iliyokukutana jana hii tarehe 21/12/2017 makao makuu ya klabu hiyo katika kikao maalumu,imeteua majina 28 ya wanachama kuunda kamati mpya ya mashindano.



Hivyo makala YANGA YATEUA KAMATI YA MABADILIKO IKIONGOZWA NA ALEX MGONGOLWA

yaani makala yote YANGA YATEUA KAMATI YA MABADILIKO IKIONGOZWA NA ALEX MGONGOLWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YATEUA KAMATI YA MABADILIKO IKIONGOZWA NA ALEX MGONGOLWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/yanga-yateua-kamati-ya-mabadiliko.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YANGA YATEUA KAMATI YA MABADILIKO IKIONGOZWA NA ALEX MGONGOLWA"

Post a Comment