title : RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA
kiungo : RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA
RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk.John Magufuli amewataka wanachama wa CCM kuchagua viongozi bila kuangalia maslahi urafiki, dini, kabila kadhalika amewasihi kutochagua viongozi watoa rushwa kwa kusema kuwa rushwa ni adui wa haki
Amesema kiongozi anapaswa kuwa mfano kwa wanachama na wananchi. Hapaswi kutuhumiwa kwa sifa mbaya kama ujambazi, madawa ya kulevya, rushwa n.k. Kuna msemo maarufu unasema 'mke wa Mfalme hapaswi kutuhumiwa kwa kuchepuka'
"Sio siri kuwa mageuzi tuliyoyafanya ni makubwa sana na hatuna budi kuyasimaia na viongozi waliochaguliwa ndio watakakuwa na majukumu hayo" Alisema Rais Magufuli
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk.John Magufuli akizungumza na wanachama wa chama cha Mapinduzi wakati akifungua kifungua mkutano mkuu wa CCM mjini Dodoma leo Jumatatu Desemba 18, 2017.
Hivyo makala RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA
yaani makala yote RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/rais-magufuli-afungua-mkutano-mkuu-wa.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA"
Post a Comment