RAIS DKT. MAGUFULI KUZINDUA KAMPENI YA UTAMADUNI NA UTAIFA

RAIS DKT. MAGUFULI KUZINDUA KAMPENI YA UTAMADUNI NA UTAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI KUZINDUA KAMPENI YA UTAMADUNI NA UTAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI KUZINDUA KAMPENI YA UTAMADUNI NA UTAIFA
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI KUZINDUA KAMPENI YA UTAMADUNI NA UTAIFA

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI KUZINDUA KAMPENI YA UTAMADUNI NA UTAIFA



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa kampeni ya Utamaduni na Utaifa yenye kaulimbiu ya "NCHI YANGU KWANZA" uzinduzi huo utafanywa na Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ijumaa Desemba 08, 2017 katika ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuanzia saa 9 mchana. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa kampeni ya Utamaduni na Utaifa yenye kaulimbiu ya "NCHI YANGU KWANZA" ambapo alisema dhumuni ya kampeni hii ni kuendelea kutengeneza Taifa ambalo linajali utamaduni, mila na desturi zake.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa kampeni ya Utamaduni na Utaifa yenye kaulimbiu ya "NCHI YANGU KWANZA" ambapo alisema kampeni hiyo itakuwa inafanyika kila mwaka na itakuwa ni sehemu ya kumbukumbu ya maadhimisho ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Nicholous William

PICHA NA IDARA YA HABARI-MAELEZO


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI KUZINDUA KAMPENI YA UTAMADUNI NA UTAIFA

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI KUZINDUA KAMPENI YA UTAMADUNI NA UTAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI KUZINDUA KAMPENI YA UTAMADUNI NA UTAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/rais-dkt-magufuli-kuzindua-kampeni-ya_7.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI KUZINDUA KAMPENI YA UTAMADUNI NA UTAIFA"

Post a Comment