title : Msikilize Mdada Glady Anayedai Kutelekezwa Baada ya Kuzaa na Diamond
kiungo : Msikilize Mdada Glady Anayedai Kutelekezwa Baada ya Kuzaa na Diamond
Msikilize Mdada Glady Anayedai Kutelekezwa Baada ya Kuzaa na Diamond
Miezi kadhaa baada ya Hamisa Mobeto kujitokeza hadharani na kudai kazaa na Diamond, mdada mwingine aitwaye Glady ameibuka na kudai kuwa ana mtoto wa miezi 7 aliyezaa na Diamond.
Glady ambaye ni mdada anayeishi nchini Kenya anadai kwamba alikutana ni Diamond Platnumz mwaka 2011 kupitia mtandao wa facebook ambapo walianza mahusiano na hatimaye akampa mimba.
Anasema, baada ya kubeba mimba hiyo, Diamond alikata mawasiliano, hali iliyomfanya asafiri hadi Dar es Salaam Tanzania kumweleza mama yeke Diamond ambaye naye alimkana kwa matusi
Hivyo makala Msikilize Mdada Glady Anayedai Kutelekezwa Baada ya Kuzaa na Diamond
yaani makala yote Msikilize Mdada Glady Anayedai Kutelekezwa Baada ya Kuzaa na Diamond Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Msikilize Mdada Glady Anayedai Kutelekezwa Baada ya Kuzaa na Diamond mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/msikilize-mdada-glady-anayedai.html
0 Response to "Msikilize Mdada Glady Anayedai Kutelekezwa Baada ya Kuzaa na Diamond"
Post a Comment