Matukio : Masheha mkoa wa kaskazini Unguja wapewa Taarifa Ujenzi wa Barabara

Matukio : Masheha mkoa wa kaskazini Unguja wapewa Taarifa Ujenzi wa Barabara - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Masheha mkoa wa kaskazini Unguja wapewa Taarifa Ujenzi wa Barabara, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Masheha mkoa wa kaskazini Unguja wapewa Taarifa Ujenzi wa Barabara
kiungo : Matukio : Masheha mkoa wa kaskazini Unguja wapewa Taarifa Ujenzi wa Barabara

soma pia


Matukio : Masheha mkoa wa kaskazini Unguja wapewa Taarifa Ujenzi wa Barabara



Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliano Mustafa Aboudjumbe kushoto akijibu maswala mbalimbali yalioulizwa katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.

Sheha wa Shehia ya Matemwe Denge Khamis Silima akiuliza maswali katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.



Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A Hassan Ali Kombo akiliza maswali katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud kulia akitolea ufafanuzi baadhi ya maswali yalioulizwa katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Vuai Mwinyi Mohammed kulia akitolea ufafanuzi baadhi ya maswali yalioulizwa katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.PICHANA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala Matukio : Masheha mkoa wa kaskazini Unguja wapewa Taarifa Ujenzi wa Barabara

yaani makala yote Matukio : Masheha mkoa wa kaskazini Unguja wapewa Taarifa Ujenzi wa Barabara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Masheha mkoa wa kaskazini Unguja wapewa Taarifa Ujenzi wa Barabara mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/matukio-masheha-mkoa-wa-kaskazini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Masheha mkoa wa kaskazini Unguja wapewa Taarifa Ujenzi wa Barabara"

Post a Comment