title : MAAFISA MAENDELEO WAMETAKIWA KUTEMBELEA VIJIJINI KUHAMASISHA MAENDELEO.
kiungo : MAAFISA MAENDELEO WAMETAKIWA KUTEMBELEA VIJIJINI KUHAMASISHA MAENDELEO.
MAAFISA MAENDELEO WAMETAKIWA KUTEMBELEA VIJIJINI KUHAMASISHA MAENDELEO.
Mwambawahabari
Naibu waziri wa mifugo na uvuvi ABDALAH ULEGA, amewataka maafisa maendeleo kutembelea vijijini ili kuhamasisha maendeleo katika kaya za vijiji.
Amefafanua kuwa vijiji vikiwezeshwa vitaleta maendeleo kwa haraka kwani serikali ya awamu ya tano inaitaji kusonga mbele bila kumwacha mwananchi yeyote
Akizungumza katika kijiji cha nyangunguti kata ya beta wilaya ya mkurunga ULEGA ,amesema maofisa wa maendeleo wanatakiwa kukimbizana na kasi ya maendeleo kwani muda wa kukaa ofisini umekwisha.
Amesema ili kuimalisha serikali na kumsaidia Rais Dokta JOHN MAGUFULI ,watendaji wawe chachu ya maendeo kwa kuwafikia wananchi moja kwa moja.
Kwa upade wao wananchi wa kijiji cha Nyangunguti wamemuomba waziri kuendelea kuhamasisha maendelea ili vijiji vikue kwa kasi
Hivyo makala MAAFISA MAENDELEO WAMETAKIWA KUTEMBELEA VIJIJINI KUHAMASISHA MAENDELEO.
yaani makala yote MAAFISA MAENDELEO WAMETAKIWA KUTEMBELEA VIJIJINI KUHAMASISHA MAENDELEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAAFISA MAENDELEO WAMETAKIWA KUTEMBELEA VIJIJINI KUHAMASISHA MAENDELEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/maafisa-maendeleo-wametakiwa-kutembelea.html
0 Response to "MAAFISA MAENDELEO WAMETAKIWA KUTEMBELEA VIJIJINI KUHAMASISHA MAENDELEO."
Post a Comment