title : RAIS DR SHEIN AONGOZA MKUTANO WA MABALOZI WILAYA MKOANI PEMBA
kiungo : RAIS DR SHEIN AONGOZA MKUTANO WA MABALOZI WILAYA MKOANI PEMBA
RAIS DR SHEIN AONGOZA MKUTANO WA MABALOZI WILAYA MKOANI PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akitia sani kitabu cha wageni alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohamed Juma Pindua Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo kwa kuzungumza na Mabalozi akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Yussuf Ali Juma.
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao leo katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria katika Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Saadala (Mabodi) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari wa Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akionesha Ilani ya Chama kwa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) alipokuwa akizungumza nao leo katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Jumapindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi. (Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS DR SHEIN AONGOZA MKUTANO WA MABALOZI WILAYA MKOANI PEMBA
yaani makala yote RAIS DR SHEIN AONGOZA MKUTANO WA MABALOZI WILAYA MKOANI PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DR SHEIN AONGOZA MKUTANO WA MABALOZI WILAYA MKOANI PEMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/rais-dr-shein-aongoza-mkutano-wa.html
0 Response to "RAIS DR SHEIN AONGOZA MKUTANO WA MABALOZI WILAYA MKOANI PEMBA"
Post a Comment